Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hili guluguja nalo linaongea ujinga ujinga tu, pumbavu kabisa.
Heshima kitu cha bure, heshimu wote, usitukane watu na usiite majina ya ajabu ajabu viongozi wa vyama, nani guluguja?Hilo guluguja halina akili kabisa
Bila kuitaja cdm hakuna mwanaccm anaweza kusikilizwa akaeleweka. Kuna ukweli ambao wanaccm wanaona haya kuukiri lakini huo ndio ukweli.Ningefurahi zaidi na ningependa kama mwenezi wetu angejikita zaidi kwenye mambo yetu ya kichama na kinchi na sio mambo ya jirani!. Hayo ya jirani awaachie wenyewe wapambane na hali zao!.
P
Contents to stay relevant 😅😅😅Ningefurahi zaidi na ningependa kama mwenezi wetu angejikita zaidi kwenye mambo yetu ya kichama na kinchi na sio mambo ya jirani!. Hayo ya jirani awaachie wenyewe wapambane na hali zao!.
P
Nani anafanya hivyo Dunia ya leo ya Politics za Attack (ili washinde i.e wanatafuta kura ili wapate kula) au defense (ili waendelee kula)..., In short Siasa za Sasa duniani leaves a lot to be Desired ndio maana kuna siku nikasema hivi...Ningefurahi zaidi na ningependa kama mwenezi wetu angejikita zaidi kwenye mambo yetu ya kichama na kinchi na sio mambo ya jirani!. Hayo ya jirani awaachie wenyewe wapambane na hali zao!.
P
Huyu sijui kama ataweza siasa za uchaguzi mkuu anaweza toa boko litakalochafua chama.Ningefurahi zaidi na ningependa kama mwenezi wetu angejikita zaidi kwenye mambo yetu ya kichama na kinchi na sio mambo ya jirani!. Hayo ya jirani awaachie wenyewe wapambane na hali zao!.
P
yeye yanamhusu nini, sisi tunataka kujua CCM mmewafanyia nini wananchi kwa miaka yote mliyokuwa madarakani kama sio kuteka na kuuwa kwa kutumia polisi na wengine.Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
Mnyiramba siyo mtu wa kumuamini kamwe. CCM imeingiliwa na malofa wa akili. Wananchi wana kero chungu mbovu,wewe unaleta sera za kugombanisha watu. Hopeless.Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe
CCM inalea majitu majinga snHuyo guluguja hajawahi kumiliki akili
Upo sahihi ni mtu mpumbavu snMnyiramba siyo mtu wa kumuamini kamwe. CCM imeingiliwa na malofa wa akili. Wananchi wana kero chungu mbovu,wewe unaleta sera za kugombanisha watu. Hopeless.
Wao wanawaibia tu wananchiyeye yanamhusu nini, sisi tunataka kujua CCM mmewafanyia nini wananchi kwa miaka yote mliyokuwa madarakani kama sio kuteka na kuuwa kwa kutumia polisi na wengine.
Na wewe uko kwa basha wako yule wa Oman aliyekufokoa hadi akakutoa bawasiriLissu yupo kwa mabwana zake Ujerumani
CCM ina maana imekosa kabisa mtu mwenye akili timamu wa kushika hiyo nafasi ya mweneze, mpaka kumpa huyu?Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe