Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamchukua Mbowe?Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.
Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalim kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.
Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
Sasa wakakutane na Peter Msigwa huko huko watajuanaKatibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.
Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalim kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.
Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
mwanamziki kumbeKatibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.
Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalim kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.
Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
Kama ishajulikana inakuwaje surprise sasa?Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.
Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalim kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.
Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
Ahame mapema maana Lissu akiingia atatueleza nani aliwapa mamlaka ya kuwapeleka wabunge 19 kuapa bila ridhaa ya kamati kuuHuenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalim kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM
Ww unajua?Kama ishajulikana inakuwaje surprise sasa?
Watamng'oa ubungeLuhaga Mpina anasuburi nini kuchukua fomu kumchallenge Samia?!
Siasa za kijinga na za kizamani sana.Watamng'oa ubunge