Amos Makalla: Kuna Surprise moja kubwa leo nitaitangaza hapo baadae

Amos Makalla: Kuna Surprise moja kubwa leo nitaitangaza hapo baadae

Suprise pekee ni CCM kukubali katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na kushiriki uchaguzi bila mbeleko ya vyombo vya dola kinyume na hapo ni upuuzi mtupu.
 
Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.

Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalimu kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.

Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
Impact ya Mwalimu ilikuwa ndogo Chadema nadhani...............I stand to be corrected!
 
Supriiiiiiize.

Mkutano wa waandishi wa habari na Katibu Mkuu wa CHADEMA wazuiliwa kufanyika na Polisi.
 
Back
Top Bottom