Amos Makalla: Kuna Surprise moja kubwa leo nitaitangaza hapo baadae

Amos Makalla: Kuna Surprise moja kubwa leo nitaitangaza hapo baadae

Surprise iwe maendeleo ambayo hatujatarajia,ama mchakato katiba mpya inazinduliwa,ama mkakati Kwa walimu wetu kukombolewa na umaskini..
Swala la nani kajiunga ccm huo ni upuuzi kama mtu mzima kujamba hadharani!!
Yaani nishabikie mtu kujiunga naitikadi asiyoiamini kisa akapate cheo? Rubbish kabisa na nchi zilizoendelea zisizo na njaa hukuti upuuzi huu nisisi afrika na manjaa yetu
 
Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.

Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalim kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.

Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
Screenshot_20250118-113526.jpg
 
Ngoja tuisubirie hiyo suprise labda italeta unafuuu wa kimaisha kwa watz

Ova
 
Mch. Msigwa anakuwa mjumbe wa kamati kuu, kazi aliyofanya ya kumbomoa Mbowe haina mfano, anahitaji maua.
 
Mch. Msigwa anakuwa mjumbe wa kamati kuu, kazi aliyofanya ya kumbomoa Mbowe haina mfano, anahitaji maua.
Kumbe huwa wanaahidiwa zawadi. Mbona huwa mnasema wanatoka CHADEMA kwa hiyari yao?
 
Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.

Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalim kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.

Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
Msaniii gani atatumbuiza
 
Katibu Mwenezi Makalla amesema leo kuna suprize kubwa ataitangaza kwenye mkutano wao.

Huenda hii suprize ndo ile Tetesi ya Salum Mwalim kuhama CHADEMA na Kuhamia CCM.

Ngoja tusubirie tujionee maajabu.
Hii haiwezi kuwa suprize , kama na hao , popote wanaweza kwenda ili hali undani wao tunaujua , Hata Mbowe anaweza kwenda hakuna wa kushutuka
 
Back
Top Bottom