Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
- Ndugu John Mongella kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, akichukua nafasi ya Anamringi Macha ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga,
- Ndugu Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, akichukua nafasi ya Ndugu Paul Makonda ambaye ameteulia kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha.
- Ndugu Ally Salum Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, akichukua nafasi ya Ndugu Gilbert Kalima ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga,
- Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM akichukua nafasi ya Ndugu Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.
IMETOLEWA NA IDARA YA ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO 03 APRIL, 2024
-----
Makada wengine waliowahi kuwa Makatibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi soma
- Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru
- Omary Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM
- John Mgesa
- Jackson Msome - Katibu Mwenezi
- John Chiligati
- Aggrey Mwanri
- Christopher Ole Sendeka
- Nape Nnauye
- Humphrey Polepole ateuliwa kuwa Katibu itikadi na Mwenezi
- Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM
- Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM
- Paul Makonda ateuliwa na CCM kuwa Katibu Itikadi na Uenezi Taifa
- Amos Makalla ateuliwa kuwa Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM
Pia soma: Namuona Amos Makalla akichua mikoba ya Makonda na John Mongela akichukua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Anamringi Macha!