Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kipaumbele cha kwanza cha CCM ambayo mteule mpya ni Pedeshee Amos Makalla ni kuhakikisha INAANGAMIZA WAPINZANI WOTE NCHINI TANZANIA , yaani hili ndio lengo kuu la Uongozi mpya ulioteuliwa juzi .

Screenshot_2024-04-05-15-12-48-1.png

Sasa kama kuna mtu yeyote alitegemea maendeleo basi ajitafakari upya .

Bali sisi wengine mara zote tutaendelea kuwakumbusha Wananchi ili Wamjue adui yao Mkuu bila kujali kama tutabezwa au la .
 
Maneno yakukata tamaa kabisa maskini hutaki kushika dola unasubiri kuletewa maendeleo na CCM!
 
Daah! Makalla mbona ameanza kuchemka siku ya kwanza tu. Huyu atafute hata kishoka wa kumuandikia hotuba.

Sasa huu ndiyo uenezi? Uenezi hauhitaji kauli ngumu na tata, unahitaji kauli thabiti na zenye kushawishi.
 
Kabisa , uenezi ni ushawishi siyo utekaji kama anaotaka kuuleta Makalla
 
Kipaumbele cha kwanza cha CCM ambayo mteule mpya ni Pedeshee Amos Makalla ni kuhakikisha INAANGAMIZA WAPINZANI WOTE NCHINI TANZANIA , yaani hili ndio lengo kuu la Uongozi mpya ulioteuliwa juzi .

View attachment 2954593

Sasa kama kuna mtu yeyote alitegemea maendeleo basi ajitafakari upya .

Bali sisi wengine mara zote tutaendelea kuwakumbusha Wananchi ili Wamjue adui yao Mkuu bila kujali kama tutabezwa au la .
Watakwambia WAPINZANI Hasa CDM wanawakwamisha wao kuwaletea wananchi maendeleo.

Kweli, pombe Si chai!!
 
Kipaumbele cha kwanza cha CCM ambayo mteule mpya ni Pedeshee Amos Makalla ni kuhakikisha INAANGAMIZA WAPINZANI WOTE NCHINI TANZANIA , yaani hili ndio lengo kuu la Uongozi mpya ulioteuliwa juzi .

View attachment 2954593

Sasa kama kuna mtu yeyote alitegemea maendeleo basi ajitafakari upya .

Bali sisi wengine mara zote tutaendelea kuwakumbusha Wananchi ili Wamjue adui yao Mkuu bila kujali kama tutabezwa au la .
Kwangu haijafunguka ila kama alishindwa hayati magufuli hawa wengini ni kimiminika tu.
 
Chama kiko mikono salama, kimeshikwa na wanaokijua. Ilikuwa ni upuuzi Mzee Warioba kukaa vikao vya CCM na jitu lililompiga ngwala.
Wanapiga Majungu kwenye Corridors za Lumumba?😆
 
Back
Top Bottom