Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Pre GE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wanapenda siasa za Hamasa kwelikweli, kwa hili Makonda aliweza ila Makala hatoweza pia Hana Mvuto wa kisiasa na ushawishi

Yaani kiufupi Sekretarieti ya Kumsaidia Dr. Nchimbi haina Mvuto labda Ally Hapi tu

Fatilia hata uteuzi wa Makala hauna Mvuto , Hata media kubwa unakuta wamepost ila post Ina comment 2 na like 1 hii ni picha tosha kuwa wamepuyanga
Hapa Upinzani ndo wakati wao,CCM wamechemsha.
 
Ni matumaini yangu kuwa kila Siku huachi Kumuombea huyo God Father wako wa Msoga Maisha marefu kwani anakubeba mno kwa Bi. Mkubwa japo ukweli ni kwamba hutakiwi na huna uwezo Kiutendaji zaidi tu ya kupenda Kwako Kujikomba no Kusifu kwa Kukufuru ili usitoswe kabisa Serikalini.
 
Wewe wasema
Makala amekua serikalini kwa muda mrefu sana , tumeona utendaji wake hana maajabu yeyote, vile vile Nyakati zimeshamtupa, ataambia nini kizazi hiki cha vijana ambao ndio wengi.

Kama si kulazimisha tu mambo kwa element ya kujuana basi asilimia 80 ya viongozi tuliokuwa nao hawapaswi kuendelea na nafasi wanazoshika sasa.

Ni either akili zao zimechoka au hawana uwezo kabisa.

Nasema hivyo maana sisi wananchi tunawapima kwa utendaji wao.

Tunaona wenyewe hatuna hata haja ya kusimuliwa.
 
sawa

Je kWa ujumla wetu watanzania… nani ameshafanya maajabu?
 
We wa koromije uliyekuja juzi Dar na fuso ya dagaa huwezi mjua Makalla!! Kaa utulie au rudi ukauze furu Chato.
Nimecheka Sana Watu mnamajungu na fitna zaidi yq Makatibu Uenezi mbona hii nafasi mnaofaa mpoo wengi humu teuzi inayofata Mama apitie humu atapata Watu wa kumfaa 😂
 
Back
Top Bottom