The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Wameendelea kushupaza shingo, Mbele ya Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, Mkuu wa mkoa wa Arusha Amos Makalla anasema kile kilichotokea tarehe 29 haikuwa maandamano bali vurugu.
"Katika taarifa yangu niliyokukabidhi, nimeeleza athari za vurugu za tarehe 29, katika taarifa yangu kuanzia page ya kwanza hadi ya mwisho sijaandika neno maandamano. Nimeandika vurugu zilizotokea tarehe 29."
"Sikutaka kutumia neno maandamano kwa sababu tarehe 29, kulikuwa na vurugu"