Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Huyu jamaa sijui ana matatizo Gani ,mtu mzima lakini hajitambui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli kama hizi zinaonyesha CCM walivyo na mashindano. Yaani kuna CCM ya wenye kelele na wasio na kelele. Fanyeni kazi msaidie watanzania acheni kujilinganisha nyie kwa nyie
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Yale yale ya Shukuru Kawambwa alisema anafanya kazi kama mchwa wakati huo akikutana na wataalamu wa elimu anawaambia hiyo wizara haielewi kabisahatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Dongo lingine hili kwa Makonda dadeq
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Nyamitako alikuwa anafanya sanaa za majukwaani tu hakuna kero hata moja aliyotatua kwa vile hakuwa na uwezo huo.Unajua serikali inavyofanya kazi lakini?
Hembu taja kero 10 ambazo makonda alifanikiwa kuzitatua na sasa hazipo tena. Anza na ile ya kuahidi kutoa matrekta ili barabara za kawe zitengenezwe
Twende kazi
Makonda alikuwa anasikiliza lakini si kutatua, ni mara ngapi amehoji wahusika wafanyie kazi na hawajafanyia? Wakaishia kumuangalia tu? Hizi ni politics tu ila kwa style tofautiMakonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
Huyu jamaa hajijui tu..
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Unajua maana ya sayansi??Sayansi Kaijulia wapi huyo mzee Lakini?
Kifupi wewe haumpendi Makonda binafsi kutokana na ubishi unaoujenga kwa hoja za wazi zenye ushahidi wa kuonekana.Tanzania kuna watto wangapi ambao hawaendi shule ? Kuna watu wangapi hawana bima na nyumba?
Kumsaidia kama kweli mmoja huko kigoma ndiyo kujua siasa ? Tangu lini serikali ikashughulikia. Matatizo ya mtu mmoja mmoja
Kuna sehemu alimtaja MAKONDA? au kachelewa kurudi tu leo umemmis makonda wako? Tatizo la waliowengi nchini kwetu ni kutojua kuchambua ukweli na uongo. Siasa na uhalisia? Yaani serikali haijapeleka pesa sehemu anakuja mtu wa serikali hiyohiyo anailamu serikali? How
Haya mavunde alipigiwa simu akatatue migogoro ya ardhi geita imeisha?
Wazir slaa na gwajima walikuwa wanagawa hati pale bunju migogoro ya ardhi bunju imeisha?
Kama unakubali KUJINGISHWA NI WEWE KWA UJINGA WAKO LAKINI MAKONDA HAMNA KITU PALE
Hiyo ndio ya wenye akili, yule popo alikuwa anatafuta kiki kwa kuwapumbaza wajinga
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
We ndio zuzu la huyo bashite. Ametatua kero ipiMakonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
Bashite alikuwa anafanya komedi hakuna kero alitatua we bwegeKimya kimya hapo ndugu yangu Makala utakosa mvuto kabisaaa na Chama chetu mwitikio wa wananchi utapungua sana, tatua kero zao style ya Makonda, ukificha ficha mambo huko hakuna maana tena dunia ya leo na bahati mbaya mtangulizi wako aliweka mambo wazi kabisa, sasa wewe ukificha ficha utaonekana msanii na sio mtendaji kabisa kutatua kero za wananchi wetu kwa vigezo vyako, utapoteza kabisa wapiga kura na mvuto utapotea kabisa
Alikufaa bwege km weweMakonda alifaa sana
Kama miaka sitini imepita lakini bado mnatatua kero za madawati, vyoo, umeme, dawa hospitalini, barabara, makazi bora n.k. basi hiyo inabidi mbadilishe hiyo sayansi.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Makonda alisema mawaziri wawe wanatoa ripoti zao Kila baada ya mwezi. Mtaje hata waziri mmoja aliyetii hiyo amri ya muhalifu.Makonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
TUNAGUGU
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Kijembe kwa Makonda

Dongo kwa bumunda bashite