Amos Makalla: Sisi tunatatua kero Kisayansi, hatupigi kelele

Amos Makalla: Sisi tunatatua kero Kisayansi, hatupigi kelele

Makonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
We kichwa Cha nazi, mwenezi ana uwezo Gani wa kutatua kero ni katiba ipi inampa uwezu huo.

Hizo ni drama za maccm, l

Kero anatatua waziri mkuu na mawaziri wake.

dogo Rudi shule
 

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
Aliyemshauri Maza amwondoe PCM kwenye nafasi hiyo alichemka saanaaaa.
Nafasi hiyo ni ya mikikimikiki,fitina,propaganda,nk na sidhani kama huyu ataimudu.
 
Shida ni kuamini wao wanajua kushinda wananchi kwa ivyo njia zao ni bora. Badala ya kuelewa wananchi wanataka kufikisha kero zao kwa mtindo gani.

Muhimu ni kuelewa wananchi wanataka nini na kuwapa wanachotaka.

Kufeli kwa Apple Inc. miaka ya 90 ni somo muhimu sana kwenye kuelewa wanachotaka wananchi na sio unachodhani wanastahili ata kama unachowapa ni bora kuliko kiłę wanachoomba.

Apple Inc. ilikuwa inaenda filisika miaka ya 90. Bill Gates pamoja kuwa mpinzani wake ndio mtu aliewaokoa kwa kutoa hela zake, akiamini uwepo wao kama washindani utachagisha innovation ya sector.

Sasa kwanini Apple ilikuwa inaenda kufa in the 90s walikuwa ahead of time kwenye technology kushinda mtu yeyote na kuja na products ambazo wananchi awaziitaji on the era. Mfano apple wana voice recognition technology, touch screen toka mid 90’s na nyingine kadha wa kadha ambazo popular leo (ukitafuta story yao why they failed utapata list).

Baada ya Bill Gates kuwaokoa waliporudi wakawa na discipline ya kufanya marketing research na kuwapa consumers products ambazo wananchi wanahitaji kwa muda huo badala ya technology ambazo too advanced to them katika kipindi hiko.

Ndio siasa usijifanye wewe unajua sana kushinda wananchi hasa kwenye kusaka popular support. Makalla aelewi wao sio serikali ni wapiga porojo tu wapo kwenye ziara ya charm offensive badala ya kwenda na style wananchi wanayopenda anapeleka ujuaji wake. Ndio shida ya CCM hawajui yupi anafaa kwa nafasi gani Amos Makalla ni mtendaji porojo za majukwaani aziwezi anataka kufanya mambo kiserikali ata kwenye kutafuta support.
 
Unajua serikali inavyofanya kazi lakini?
Hembu taja kero 10 ambazo makonda alifanikiwa kuzitatua na sasa hazipo tena. Anza na ile ya kuahidi kutoa matrekta ili barabara za kawe zitengenezwe
Twende kazi
Najua sana serikali inavyofanya kazi ndio maana naponda utaratibu wa akina makalla.
Ungejua kwanza vigogo wakubwa karibu wote hawategemei mshahara. Wakipata ofisi cheo kinakua sawa na kua na kampuni binafsi kutengeneza faida. Kwa hiyo wanakula gawio kupitia dili na rushwa bila kuwekeza kitu. Hawana lengo kutumikia mshahara wanaopata.
Bila kero kusikilizwa hadharani na wahusika kutajwa na kuabishwa ikibidi usitegemee utatuzi ila usanii na ubabaishaji tu.
 
Makonda ndio alikua anasikiliza kero makalla anaorodhesha kero. Tofaiti makonda alikua anapata suluhu maana kero zinatolewa hadharani viongozi wa serikali wapo wanajibu kero. Makala anaorodhesha tena nje ya uwazi. Njia hiyo yeye na katibu mkuu wake wanaficha nakuwasitiri vigogo dhulumati isitoshe uwezekano kufanyika usanii kuepa kupatikana haki ni mkubwa.
Walikuwa wanatatua kero au wanajibu maswali??
 
Wataishia kupambana na makonda wakati mwenzao hana hata time nao maana anajua wachovu tu..wakija kushtuka uchaguzi huu hapa..wanaanza kuwatafuta wananchi ili watatue kero kisiasa sasa.
 
Back
Top Bottom