Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki yake ya kupiga kura. Hili limejitokeza baada ya Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, kutotimiza wajibu wa kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.
Akizungumza leo Oktoba 22 wakati akipokea ripoti ya Uandikishaji Mkoa wa Dar es Salaam, Makalla amesema, "Nionesheni mahali popote Tundu Lissu akijiandikisha. Inaingia kwenye rekodi kuwa hatopiga kura katika nchi hii kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lakini tutarajie kelele za kuhoji matokeo, wakati hata kura yake hana."

Makala amesema, "Nionesheni mahali popote Tundu Lissu akijiandikisha. Inaingia kwenye rekodi kuwa hatopiga kura katika nchi hii kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lakini tutarajie kelele za kuhoji matokeo, wakati hata kura yake hana."
Katibu mwenezi kama hajui kuwa Tundu Lissu ameshajiandikisha kwa kweli CCM kuwapata watu makini kuna safari ndefu.....Mwambieni mama amchongee tu kwenye vikao vyao.
"Nionesheni mahali popote Tundu Lissu akijiandikisha. Inaingia kwenye rekodi kuwa hatopiga kura katika nchi hii kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lakini tutarajie kelele za kuhoji matokeo, wakati hata kura yake hana."
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makala amewashukia baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao mara kadhaa wamekuwa mstari wa mbele kujitokeza kukosoa muenendo wa uchaguzi huku, huku wenyewe wakiwa hawako tayari kuonyesha mfano katika ushiriki wa zoezi hilo
Amesema inashangaza kuona baadhi ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa vya upinzani wakishindwa kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi la uchaguzi wa serikali za mitaa lililofungwa hivi karibuni, jambo ambalo moja kwa moja linawaondolea sifa ya kuchagua viongozi wanaowataka kwenye uchaguzi huo
Makala ambaye pia ni Mlezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam amezungumza hayo wakati wa hafla ya kupokea taarifa ya zoezi la uandikishaji wa daftari la mkazi la uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mkoa wa Dar es Salaam, taarifa aliyoipokea kutoka kwa viongozi wa CCM wa mkoa huo leo, Jumanne Oktoba 22.2024 ambapo katika kukoleza ajenda huyo amemtolea mfano Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara Tundu Lissu akidai kuwa ni miongoni mwa viongozi wa upinzani ambao watakosa sifa ya kupiga kura kwa kuwa hajajiandikisha kwenye daftari hilo
Amesema ni jambo ambalo linashangaza kuona kiongozi wa kitaifa wa chama cha siasa ambaye kiuhalisia anapaswa kuwa mfano kwa wengine anashindwa kujiandikisha, huku upande wa pili kiongozi huyohuyo anajitokeza kukosoa michakato ya uchaguzi huo ambao yeye hakutaka kuwa sehemu ya washiriki
Nimeshangaa sana kusikia Tundu lisu anajigamba kabisa kwamba hajajiandish akupiga kura. Angekuwa ana akili angenyamaza kimya baada ya Amos kuliibua swala hilo.
Sasa kiongozi mkubwa huoni umuhimu wa kujindikisha kupiga kura kwa maana nyingine unatuma message kwamba mlinywe wenyewe mimi simo.
Sasa tumise kumbe mpo kwa ajili ya kuleta machafuko kwa sababu mna pa kukimbili tutakuwa tumekosea?
Akili kichwani wadau. Sura halisi mmeziona. Mwenye macho au masikio haambiwi ona au sikia.