LGE2024 Amos Makalla: Tundu Lissu hana haki ya kupiga Kura katika nchi hii
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Yaani CCm hapo ni km wameweka galasa, mby zaidi wameshindwa kbs kusoma alama za nyakati!!
Nionesheni mahali popote Tundu Lissu akijiandikisha. Inaingia kwenye rekodi kuwa hatopiga kura katika nchi hii kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lakini tutarajie kelele za kuhoji matokeo, wakati hata kura yake hana."
 
Uzuri wa Lissu huwa hataki kabisa kuisaliti nafsi yake! Na siyo mnafiki.
Hapo hakuna Uchaguzi ni Uchafuzi.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki yake ya kupiga kura. Hili limejitokeza baada ya Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, kutotimiza wajibu wa kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.

Akizungumza leo Oktoba 22 wakati akipokea ripoti ya Uandikishaji Mkoa wa Dar es Salaam, Makalla amesema, "Nionesheni mahali popote Tundu Lissu akijiandikisha. Inaingia kwenye rekodi kuwa hatopiga kura katika nchi hii kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lakini tutarajie kelele za kuhoji matokeo, wakati hata kura yake hana."
Pia, Soma:
+ Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura
+ Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!
Labda tayari ni Mbeleji huwezi jua
 
Back
Top Bottom