Pre GE2025 Amos Makalla: Wanaosema No Reform No Election hawana fedha za kufanya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

Kamati kuu ya Chadema iliazimia kwamba 'No reform no election' uamuzi ambao umepigiliwa msumari na Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu kwamba kwa sasa wanapigania mabadiliko ya sheria na si vinginevyo.

Leo Jumapili, Januari 26, 2025, akiwa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar, Makalla amesema hao wanaosema 'no reform no election' hawana fedha wanatafuta sababu.

======================

Na Mimi nakubaliana naye, jamaa wanataka kuvuta muda ili wajiandae, hiyo slogan ni kisingizio tu.

View attachment 3214770
CHADEMA waache visingizio vya kijinga, hiyo slogan yao ya No reform no election haitekelezeki kwa muda huu uliobaki kuelekea uchaguzi mkuu wa October! Waache utoto na waanze kujiandaa na uchaguzi.
Tuna zaidi ya vyama 19 kama CHADEMA hawako tayari kwa uchaguzi basi hilo si suala la vyama vyote na wasilete vurugu za kijinga.
 
Nimesikia kuna watu wamerudi kwa wingi humu, walikua wame relax, huenda ni kweli.
 
Tundu Lissu sasa apunguze Press aanze sasa kujenga Chama na kuweka mikakati ya kuelekea October.
Hizi Press za Kila dakika zinachosha sasa!
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

Kamati kuu ya Chadema iliazimia kwamba 'No reform no election' uamuzi ambao umepigiliwa msumari na Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu kwamba kwa sasa wanapigania mabadiliko ya sheria na si vinginevyo.

Leo Jumapili, Januari 26, 2025, akiwa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar, Makalla amesema hao wanaosema 'no reform no election' hawana fedha wanatafuta sababu.

======================

Na Mimi nakubaliana naye, jamaa wanataka kuvuta muda ili wajiandae, hiyo slogan ni kisingizio tu.

View attachment 3214776
Kwani kuna uchaguzi? Watu wenyewe kumpata mgombea kwa uwazi hawawezi kumchagua kwenye uchaguzi huru, wazi ma kidemokrasia ndo wataweza?
 
CCM Waache Upuuzi Wanaongelea Fedha Gani ?
WWamepata MgombeA Wao Kiujanja Mbungi Ikiwa Hali, Na Uwazi Hawawezi Kushinda
 
Kumbe huwa msamsikiliza Lissu, sasa jipimeni cc wananchi tunawasikiliza wote na tunaona kina nani ni majuha, shule c mmetupeleka sasa tunaitumia hiyo shule kuwatoa madarakani cc c wajinga
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

Kamati kuu ya Chadema iliazimia kwamba 'No reform no election' uamuzi ambao umepigiliwa msumari na Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu kwamba kwa sasa wanapigania mabadiliko ya sheria na si vinginevyo.

Leo Jumapili, Januari 26, 2025, akiwa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar, Makalla amesema hao wanaosema 'no reform no election' hawana fedha wanatafuta sababu.

======================

Na Mimi nakubaliana naye, jamaa wanataka kuvuta muda ili wajiandae, hiyo slogan ni kisingizio tu.

View attachment 3214776
Hoja ya kijinga na ya kipumbavu sana hii inayotolewa na Kiongozi mkubwa kama huyo
 
Sa100 akigombea mpinzani wake hata asipopiga kampen anamshinda asubhi na mapema tu wala haihitaji kuzunguka huko na kule ile kusema na gombea tu inatosha kumuondoa sa100 madarakani haraka mno.

Sasa chakufanya kubalini tume huru ya uchaguzi muone mziki utakavyokuwa mgumu kwenu. Kwa tume hii hata kama chadema ingekuwa na mahela kiasi gani isingeshinda na haiwezi shinda maana mfimuo iliyopo yote ni ya kuirinda ccm tu.
 
Kwa hyo kipi bora
 
Kwa hyo kipi bora
Chadema wala haihitaji mabilioni kumuondoa SAMIA Kilicho bora ni kuwa na tume huru ya uchaguzi tu hata wao wanajua hili kama tu wamempitisha kama madawa ya kulevya huko jikoni maana yake hata wao hawamkubali na anajua hakubaliki hivyo ukimleta kwa public sasa anakubalika na machawa tu ambao hata m1 hawafiki
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

Kamati kuu ya Chadema iliazimia kwamba 'No reform no election' uamuzi ambao umepigiliwa msumari na Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu kwamba kwa sasa wanapigania mabadiliko ya sheria na si vinginevyo.

Leo Jumapili, Januari 26, 2025, akiwa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar, Makalla amesema hao wanaosema 'no reform no election' hawana fedha wanatafuta sababu.

======================

Na Mimi nakubaliana naye, jamaa wanataka kuvuta muda ili wajiandae, hiyo slogan ni kisingizio tu.

View attachment 3214776

View: https://www.instagram.com/p/DFSQVJktKNH/?img_index=1&igsh=OTh1dnczOHMxZzl1
 
Back
Top Bottom