Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Kamati kuu ya Chadema iliazimia kwamba 'No reform no election' uamuzi ambao umepigiliwa msumari na Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu kwamba kwa sasa wanapigania mabadiliko ya sheria na si vinginevyo.
Leo Jumapili, Januari 26, 2025, akiwa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar, Makalla amesema hao wanaosema 'no reform no election' hawana fedha wanatafuta sababu.
======================
Na Mimi nakubaliana naye, jamaa wanataka kuvuta muda ili wajiandae, hiyo slogan ni kisingizio tu.
CHADEMA waache visingizio vya kijinga, hiyo slogan yao ya No reform no election haitekelezeki kwa muda huu uliobaki kuelekea uchaguzi mkuu wa October! Waache utoto na waanze kujiandaa na uchaguzi.
Tuna zaidi ya vyama 19 kama CHADEMA hawako tayari kwa uchaguzi basi hilo si suala la vyama vyote na wasilete vurugu za kijinga.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Kamati kuu ya Chadema iliazimia kwamba 'No reform no election' uamuzi ambao umepigiliwa msumari na Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu kwamba kwa sasa wanapigania mabadiliko ya sheria na si vinginevyo.
Leo Jumapili, Januari 26, 2025, akiwa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar, Makalla amesema hao wanaosema 'no reform no election' hawana fedha wanatafuta sababu.
======================
Na Mimi nakubaliana naye, jamaa wanataka kuvuta muda ili wajiandae, hiyo slogan ni kisingizio tu.
Kumbe huwa msamsikiliza Lissu, sasa jipimeni cc wananchi tunawasikiliza wote na tunaona kina nani ni majuha, shule c mmetupeleka sasa tunaitumia hiyo shule kuwatoa madarakani cc c wajinga
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Kamati kuu ya Chadema iliazimia kwamba 'No reform no election' uamuzi ambao umepigiliwa msumari na Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu kwamba kwa sasa wanapigania mabadiliko ya sheria na si vinginevyo.
Leo Jumapili, Januari 26, 2025, akiwa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar, Makalla amesema hao wanaosema 'no reform no election' hawana fedha wanatafuta sababu.
======================
Na Mimi nakubaliana naye, jamaa wanataka kuvuta muda ili wajiandae, hiyo slogan ni kisingizio tu.
Sa100 akigombea mpinzani wake hata asipopiga kampen anamshinda asubhi na mapema tu wala haihitaji kuzunguka huko na kule ile kusema na gombea tu inatosha kumuondoa sa100 madarakani haraka mno.
Sasa chakufanya kubalini tume huru ya uchaguzi muone mziki utakavyokuwa mgumu kwenu. Kwa tume hii hata kama chadema ingekuwa na mahela kiasi gani isingeshinda na haiwezi shinda maana mfimuo iliyopo yote ni ya kuirinda ccm tu.

Chadema wala haihitaji mabilioni kumuondoa SAMIA Kilicho bora ni kuwa na tume huru ya uchaguzi tu hata wao wanajua hili kama tu wamempitisha kama madawa ya kulevya huko jikoni maana yake hata wao hawamkubali na anajua hakubaliki hivyo ukimleta kwa public sasa anakubalika na machawa tu ambao hata m1 hawafiki