Pre GE2025 Amos Makalla: Wanaosema No Reform No Election hawana fedha za kufanya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM walikuwa wanailea CDM, bado wanatafakari jinsi ya kumuingiza kwenye payroll huyu mwenyekiti mpya.
 
CCM walikuwa wanailea CDM, bado wanatafakari jinsi ya kumuingiza kwenye payroll huyu mwenyekiti mpya.
Ngoja kwanza njaa impige, sasa hivi yuko honeymoon
 
Kwani hizo pesa vyama vya siasa huwa vinazitoa wapi?.
 
Itaeleweka tu mkuu! Wewe subiri muda ufike! Hata kama ni mimi nisingekubali uchaguzi gani huo??? Kwa tume hii hii! Hapana! Tundu lissu ni mzalendo wa kweli
 
Ccm safari hii kupitia safi mpya ya uongozi wa chadema wajipange Kwa hoja nzito, vinginevyo safi ya ccm itapanguliwa Kila muda
 
CCM Ina pesa Haina watu,

CHADEMA Haina pesa Ina watu,

Swali Kwa Makala: CCM imepata wapi pesa ikiwa Haina watu wa kuchangia pesa halali?
 
CCM wakubali kufanya reforms kwenye sheria za uchaguzi ili tuone kama kweli Chadema hawatashiriki uchaguzi.

Vv
 
Huyu hana siku nyingi
 
Msije mkafikiri Lissu ni mjinga mjinga. Kila kitu anafanya kwa mpango. Huyu jamaa watu hawajui ni kati ya watu wenye akili nyingi Tanzania nzima. Lissu ametumia muda wa chaguzi kujenga uhusiano wa wana habari sasa hawamuogopi, sasa huwezi kuwadanganya wakati wajua mpaka nyumbani kwakwe. Tatizo ni kwamba Lissu ana akili mara mbili ya nyie machawa
 
Fahamu kwamba mwenyekiti wa sasa ni lissu! Na swala sio kushiriki chaguzi ngapi! Kwa sasa tumechoka na uchafu unaofanywa chini ya katiba hii! Ndo maana tumefika mwisho ni heri uchaguzi usiwepo lakini kwa katiba hii ni kuharibu tu kodi za wananchi
CHADEMA ni chama tu cha siasa kama vyama vingine UPDP, PONA , TADEA n.k.
Hakina uwezo wa kuzuia Taifa lisifanye uchaguzi kwa mujibu wa Katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…