Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makala.Amesema ya kuwa kitendo walichokifanya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba sana alichokishuhudia .
Gwiji na nguli huyo wa mahesabu na uhasibu na ambaye amewahi kuwa Mhazina wa CCM Taifa ,mkuu wa mikoa mbalimbali ikiwepo Mbeya ,Katavi ,Mwanza na Dar es salaam na ambaye anafahamika sana ndani ya chama na serikali kutokana na kufanya kazi tangia UVCCM.lakini pia kushika nafasi ya juu kabisa serikalini yaani unaibu Waziri.
Hii ni katika Muendelezo wa kauli ambazo zimeendelea kutolewa na watu mbalimbali kulaani sana kitendo cha kihayani na kilichokosa busara na hekima kilicho fanywa na wanawake wa CHADEMA.ambao hata hivyo wamekuwa na mchango mdogo sana kwa wanawake wa Nchi hii ambao kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakiwategemea UWT yaani jumuiya ya umoja wa wanawake wa CCM Tanzania kwa ajili ya kuwasemea na kuwatetea katika masuala mbalimbali
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.