Amos Makalla: Wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba Sana

wale wamama inawezekana kabisa ni washirikina sana wanaopenda mambo ya kiganga,

inashangaza sana,
yaani wamama watu wazima na heshima zao, wanachoma vitenge vipya kwasabb tu ya mihemko binafsi.

Si bora hata wangewapatia vituo vya malezi ya watoto wasio na walezi mitaani, wangelikua wamewasitiri na Baraka za Mungu zingekua juu yao? 🐒

sasa maamuzi ya hovyo ya kukurupuka kama ya hawa wamama, si ni sawa tu na yale maamuzi ya kukurupuka ya mwenyekiti wao kuhusu maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na polisi ?🐒
Hawajitambui kabisa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makala.Amesema ya kuwa kitendo walichokifanya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba sana alichokishuhudia .

Gwiji na nguli huyo wa mahesabu na uhasibu na ambaye amewahi kuwa Mhazina wa CCM Taifa ,mkuu wa mikoa mbalimbali ikiwepo Mbeya ,Katavi ,Mwanza na Dar es salaam na ambaye anafahamika sana ndani ya chama na serikali kutokana na kufanya kazi tangia UVCCM.lakini pia kushika nafasi ya juu kabisa serikalini yaani unaibu Waziri.

Hii ni katika Muendelezo wa kauli ambazo zimeendelea kutolewa na watu mbalimbali kulaani sana kitendo cha kihayani na kilichokosa busara na hekima kilicho fanywa na wanawake wa CHADEMA.ambao hata hivyo wamekuwa na mchango mdogo sana kwa wanawake wa Nchi hii ambao kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakiwategemea UWT yaani jumuiya ya umoja wa wanawake wa CCM Tanzania kwa ajili ya kuwasemea na kuwatetea katika masuala mbalimbaliView attachment 3116315

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kweli kabisa ni ushamba na ulimbukeni
 
Wanyiramba wanaiyumbisha nchi.
 
kazana kupiga spana teuzi zinakuja...

kazi kweli kweli
 
Kanga zao au za nani?
 
Kuna ushamba unaozidi wa CCM kuteka na kuua wakosoaji wa serikali?
 
wale wamama inawezekana kabisa ni washirikina sana wanaopenda mambo ya kiganga,

inashangaza sana,
yaani wamama watu wazima na heshima zao, wanachoma vitenge vipya kwasabb tu ya mihemko binafsi.

Si bora hata wangewapatia vituo vya malezi ya watoto wasio na walezi mitaani, wangelikua wamewasitiri na Baraka za Mungu zingekua juu yao? [emoji205]

sasa maamuzi ya hovyo ya kukurupuka kama ya hawa wamama, si ni sawa tu na yale maamuzi ya kukurupuka ya mwenyekiti wao kuhusu maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na polisi ?[emoji205]
Pepo la kuchoma choma halijaisha mbona kuna watu walichoma vifaranga maskini wa Mungu pasipo huruma hakuna aliyejali ko just relax
 
CHADEMA msipoacha masuala ya utoto utoto na kihuni kihuni mtaendelea kupotea katika ramani ya siasa za Nchi hii. Hivi hamshituki na kujitafakari kwanini mnaendelea kupuuzwa sana na watanzania? Hamujiulizi kwanini hamuungwi mkono kwa chochote kile kwa sasa?
Ni kweli cdm hawaungwi mkono na yoyote, ila ikifika wakati wa uchaguzi tunashuhudia chaguzi za kishenzi mno ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti! Ukisikia akili za kujipendekeza ndio hizi sasa.
 
wale wamama inawezekana kabisa ni washirikina sana wanaopenda mambo ya kiganga,

inashangaza sana,
yaani wamama watu wazima na heshima zao, wanachoma vitenge vipya kwasabb tu ya mihemko binafsi.

Si bora hata wangewapatia vituo vya malezi ya watoto wasio na walezi mitaani, wangelikua wamewasitiri na Baraka za Mungu zingekua juu yao? 🐒

sasa maamuzi ya hovyo ya kukurupuka kama ya hawa wamama, si ni sawa tu na yale maamuzi ya kukurupuka ya mwenyekiti wao kuhusu maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na polisi ?🐒
Uchafu wa huyo mtekaji ni wa kuchomea mbali. Kuvaa nguo yenye picha ya muuaji ni kujitafutia laana bure.
 
Infact,
Hao wa mama watu wazima kabisa laana na kufuru itawatesa na itawatafuna zaidi kwa kufanya huo ushirikina wao hadharini na kuwaacha watoto yatima wakiwa uchi wanahitaji sitara wao wanafanya uchawi na mahitaji ya wahitaji 🐒

useless kabisa
 
Pepo la kuchoma choma halijaisha mbona kuna watu walichoma vifaranga maskini wa Mungu pasipo huruma hakuna aliyejali ko just relax
hiyo ya vifaranga muulize Mpina,

Neema na Baraka za Mungu zingeambatana na hao wa mama endapo wangewasitiri watoto wanaojifunika mashati na hawana mashuka wala chochote cha kujisitiri...

Badala yake, kufuru na ushirikina waloufanya hadharini bilashaka yoyote vitaambatana na laana 🐒
 
Back
Top Bottom