Amos Makalla: Wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba Sana

Ndugu zangu Watanzania,

Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makala.Amesema ya kuwa kitendo walichokifanya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba sana alichokishuhudia .

Gwiji na nguli huyo wa mahesabu na uhasibu na ambaye amewahi kuwa Mhazina wa CCM Taifa ,mkuu wa mikoa mbalimbali ikiwepo Mbeya ,Katavi ,Mwanza na Dar es salaam na ambaye anafahamika sana ndani ya chama na serikali kutokana na kufanya kazi tangia UVCCM.lakini pia kushika nafasi ya juu kabisa serikalini yaani unaibu Waziri.

Hii ni katika Muendelezo wa kauli ambazo zimeendelea kutolewa na watu mbalimbali kulaani sana kitendo cha kihayani na kilichokosa busara na hekima kilicho fanywa na wanawake wa CHADEMA.ambao hata hivyo wamekuwa na mchango mdogo sana kwa wanawake wa Nchi hii ambao kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakiwategemea UWT yaani jumuiya ya umoja wa wanawake wa CCM Tanzania kwa ajili ya kuwasemea na kuwatetea katika masuala mbalimbaliView attachment 3116315

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Utekaji na mauaji NI ushama WA kiwango gani????
uchomaji wa vitenge ambavyo vingeweza kuwasitiri wahitaji maeneo mbalimbali nchini ni kufuru na laana mbaya zaidi itakayo walamba hao wamama watu wazima kabisa 🐒
 
Utekaji na mauaji NI ushama WA kiwango gani????
ni kiwango kibaya sana cha ushirikina kwa chama cha siasa kuwatoa kafara wanachama wake na kuwachukua misukule vijana wake na kuja kusingizia mambo ambayo hayapo..

acheni ramli chonganishi na mambo ya uganga kwenye kutafuta uongozi.
Tumieni sera na hoja kushawishi wapiga kura ndrugu zango 🐒
 
Infact,
Hao wa mama watu wazima kabisa laana na kufuru itawatesa na itawatafuna zaidi kwa kufanya huo ushirikina wao hadharini na kuwaacha watoto yatima wakiwa uchi wanahitaji sitara wao wanafanya uchawi na mahitaji ya wahitaji 🐒

useless kabisa
Uanazungumziaje hilo lijimama lizima linaloagiza wapinzani kutekwa na kuuwawa?
 
wamama watu wazima kabisa eti wanachoma vitenge hadharini huku wahitaji mbalimbali nchi wakishuhudia vitu ambavyo wanavihitaji vinachomwa bila sababu ya maana dah..

Inasikitisha sana kufuru ile, sifahamu laana gani itawakumba wamama wale wasiojielewa 🤭
 
Huyo mtekaji kwanini hakuwapelekea hayo mavitenge wenye uhitaji, akaamua kusaka kiki ya kuwafumba macho wasio na uhutaji ili kujionyesha ni mwema?
 
au wamama wale walikua wanafanya maandalizi ya kafara nyingine ndani ya chama chao?

au ni msukule mwingine yupo mbioni kuchukuliwa halafu msingizie sijui nini na nini huko?

achaneni na ushirikina ndrugu zango, tumieni ushawishi wa hoja,sera na mipango, uchawi na Ramli chonganishi zitawamaliza wenyewe kamandaz 🐒
 
Huna akili kabisa wewe.umekosa adabu na malezi mazuri
Mimi sio mtu wa kujipendekeza kwa watu wenye madaraka kama ww. Au unadhani nina muda wa kuonyesha heshima za kinafiki kwa mwenye madaraka ya wizi wa kura? Ni liuaji fullstop.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makala.Amesema ya kuwa kitendo walichokifanya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba sana alichokishuhudia .

Gwiji na nguli huyo wa mahesabu na uhasibu na ambaye amewahi kuwa Mhazina wa CCM Taifa ,mkuu wa mikoa mbalimbali ikiwepo Mbeya ,Katavi ,Mwanza na Dar es salaam na ambaye anafahamika sana ndani ya chama na serikali kutokana na kufanya kazi tangia UVCCM.lakini pia kushika nafasi ya juu kabisa serikalini yaani unaibu Waziri.

Hii ni katika Muendelezo wa kauli ambazo zimeendelea kutolewa na watu mbalimbali kulaani sana kitendo cha kihayani na kilichokosa busara na hekima kilicho fanywa na wanawake wa CHADEMA.ambao hata hivyo wamekuwa na mchango mdogo sana kwa wanawake wa Nchi hii ambao kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakiwategemea UWT yaani jumuiya ya umoja wa wanawake wa CCM Tanzania kwa ajili ya kuwasemea na kuwatetea katika masuala mbalimbaliView attachment 3116315

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ww unaakili kweli
 
Attachments

  • JamiiForums1389173211.jpg
    JamiiForums1389173211.jpg
    24.3 KB · Views: 1
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Ndg. Mohamed Ali Kawaida (MCC) anawakaribisha vijana wote kushiriki katika Wiki ya Vijana itakayoanza Oktoba 08 hadi 14, 2024 ikiwa na kauli mbiu; "Vijana na Matumizi ya Fursa za Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu" ambayo itaenda sambamba na matembezi ya kuenzi miaka 25 ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere kuelekea kilele cha Mwenge wa Uhuru Oktoba 14 yatakayoanzia wilaya ya Butiama Oktoba 09 kwenda jijini Mwanza.

Imetolewa na Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM - Taifa

Ni nini faida yake kwa vijana wasomi na wasio wasomi.
 
Attachments

  • IMG-20241006-WA0021.jpg
    IMG-20241006-WA0021.jpg
    114.8 KB · Views: 1
Siku nikisikia kuna meno ya tembo yaliyoshikwa na kuchomwa moto nami nitashangaa. Unachoma pesa?
 
Back
Top Bottom