Amos Makalla: Wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba Sana

Hawajitambui kabisa.
 
Kweli kabisa ni ushamba na ulimbukeni
 
Wanyiramba wanaiyumbisha nchi.
 
kazana kupiga spana teuzi zinakuja...



kazi kweli kweli
 
Kanga zao au za nani?
 
Kuna ushamba unaozidi wa CCM kuteka na kuua wakosoaji wa serikali?
 
Pepo la kuchoma choma halijaisha mbona kuna watu walichoma vifaranga maskini wa Mungu pasipo huruma hakuna aliyejali ko just relax
 
Ni kweli cdm hawaungwi mkono na yoyote, ila ikifika wakati wa uchaguzi tunashuhudia chaguzi za kishenzi mno ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti! Ukisikia akili za kujipendekeza ndio hizi sasa.
 
Uchafu wa huyo mtekaji ni wa kuchomea mbali. Kuvaa nguo yenye picha ya muuaji ni kujitafutia laana bure.
 
Uchafu wa huyo mtekaji ni wa kuchomea mbali. Kuvaa nguo yenye picha ya muuaji ni kujitafutia laana bure.
Infact,
Hao wa mama watu wazima kabisa laana na kufuru itawatesa na itawatafuna zaidi kwa kufanya huo ushirikina wao hadharini na kuwaacha watoto yatima wakiwa uchi wanahitaji sitara wao wanafanya uchawi na mahitaji ya wahitaji πŸ’

useless kabisa
 
Pepo la kuchoma choma halijaisha mbona kuna watu walichoma vifaranga maskini wa Mungu pasipo huruma hakuna aliyejali ko just relax
hiyo ya vifaranga muulize Mpina,

Neema na Baraka za Mungu zingeambatana na hao wa mama endapo wangewasitiri watoto wanaojifunika mashati na hawana mashuka wala chochote cha kujisitiri...

Badala yake, kufuru na ushirikina waloufanya hadharini bilashaka yoyote vitaambatana na laana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…