milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Katika Barabara hatari Tanganyika ni kutoka Dar, chalinze,morogoro, kitonga,iringa,mafinga,Makombako, mbeya kwenda Tunduma.Kila siku huwa nasema hapa kusafiri katika barabara za Tanzania ni HATARI na kutembea na KIFO.
Waafrika hasa watanzania bado hawawezi kutumia barabara kwa usalama.
Mijitu inajiendea tu, pakachu pakachu kama mapanya.
Yeah.... Udereva ni proffession, ni kazi, tofauti na kuendesha kawaida.Kuna watu wanapenda tu kuendesha gari, huwaambii kitu.
Lakini pia wengine hawana uzoefu wa kuendesha masafa na cha ajabu zaidi wanaendesha mida ya usiku.
Sasa nnko ni nan? Ni wachagaNKO sio Mangi,
RIP Mpambanaji
Ni sawa kabisa ila niliiona hii twitter ndio maana nikaja na hoja ya kuwa na derevaSiyo Dereva tu, Bali dereva makini maana hata Marehemu alikuwa Dereva pia, pengine alikuwa makini akasababishiwa ajali na extrenal factors, haya mambo ni magumu na yanatafakarisha sana
Mashuhuda Wanasema Dereva wa Prado ni kama alilala akaifata TATA..
.
Mkuu wa wilaya ya Same anasema madereva waongeze umakini hasa kipindi hiki cha sikukuu..
.
Anaendelea kusema madereva huwa wanajisahau wakiwa barabarani..
.
NI kama anataka kumpiga Mkurugenzi mawe.
Na gari yenyewe ni Prado... Hainaga balansi ikiwa speedHicho kipande na mwendokasi ni hatari...kwanza ni ukanda wa upepo mkali sana...Jet Streams...hapo ukiwa speed ukakutana na msala kidogo tu gari inapeperushwa kama Toilet paper....tuwe makini sana jamani.
RiPAjali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki dunia.
Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro, jana mchana Jumapili, Desemba 22, 2024. Katika ajali hiyo, pia binti yake wa kwanza, Maureen Nnko amefariki.
Hayo yamethibitishwa na Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu leo Jumatatu Desemba 23, 2024 kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari.
Katika taarifa hiyo, imeelezwa kuwa mke wa marehemu, Agnes Nnko na watoto-- Marilyn, Melvin na pamoja na mwanafamilia mwingine, Sylvana wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya KCMC na Mawenzi.
βMipango ya mazishi inaendelea kuratibiwa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Ofisi ya Msajili wa Hazina,β imeeleza taarifa hiyo.
Endelea kusisimuliwaKuna wimbo mmoja wa afande sele kauimba kwa utulivu Sanaa...
UNAITWA,
NITABAKI NA ROHO YANGU
Unasisimua mno.
Nimepita sana hayo maeneo nikidrive kwenda Moshi......Nikifikaga mitaa ya Makanya kuelekea Same- Mwanga huwa nakuwa mpoleUpepo mkali na madereva hawasikii haaambiliki wao wananyoosha tu
Ova
Sijaelewa mantic Wala logic yakoEndelea kusisimuliwa
Labda niongeze wimbo mzuri huo uendelee kusisimua unagusa nyoyoSijaelewa mantic Wala logic yako
ππ
Kipande cha Makanya to Same kinakuwaga na viajali vya Hapa na pale wakati Njia imenyooka barabara nzuri.
Nafikiri tatizo ni upepo mkali eneo hilo
Sana,yaani barabara ya pale Same - Mwanga ni hatari sanaEneo la Same,Huko Kilimanjaro,linahitaji maombi
Ukiacha BMW, AUD, BENZ, PEUGOT na magari mazito, Matoyota mepesi Same speed usizidi 100, ni very risky - pana upepo!