TANZIA Amos Nnko, Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same

Kama ni mtu wa majukumu sana usiendeshe gari. Majukumu yanaleta uchovu wa akili na kuhamisha mawazo.
Tafuta vijana hapo mjini wakupeleke, halafu unawatoa na laki moja mbili
Siku ikipangwa imepangwa tu mzee.

Tunapoletwa duniani hatuulizwi kama tupo tayari kuja, na tunapotolewa pia hatuambiwa wala kuulizwa. Life has never been fair since day 1.
 
Watu wa wawili wa familia moja; aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kwenye Ofisi ya Msajili na Hazina, Amos Nnko na binti yake wa kwanza, Maureen Nnko wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea wilayani Same, mkoani Kilimanjaro.

Taarifa ya Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu imeeleza kuwa katika ajali hiyo iliyotokea jana mchana, mke wa marehemu na watoto wengine wawili na mwanafamilia mmoja wamejeruhiwa na wanapatiwa matibabu katika hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoani Kilimanjaro.
Chanzo:TBC
R.I.P MANGI
 
Attachments

  • 1734937586210.jpg
    1734937586210.jpg
    257.5 KB · Views: 3
Watu wa wawili wa familia moja; aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kwenye Ofisi ya Msajili na Hazina, Amos Nnko na binti yake wa kwanza, Maureen Nnko wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea wilayani Same, mkoani Kilimanjaro.

Taarifa ya Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu imeeleza kuwa katika ajali hiyo iliyotokea jana mchana, mke wa marehemu na watoto wengine wawili na mwanafamilia mmoja wamejeruhiwa na wanapatiwa matibabu katika hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoani Kilimanjaro.
Chanzo:TBC
R.I.P MANGI
Nko nadhani ni wameru sio wachaga

Anyway ,alale kwa aman
 
Watu wa wawili wa familia moja; aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kwenye Ofisi ya Msajili na Hazina, Amos Nnko na binti yake wa kwanza, Maureen Nnko wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea wilayani Same, mkoani Kilimanjaro.

Taarifa ya Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu imeeleza kuwa katika ajali hiyo iliyotokea jana mchana, mke wa marehemu na watoto wengine wawili na mwanafamilia mmoja wamejeruhiwa na wanapatiwa matibabu katika hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoani Kilimanjaro.
Chanzo:TBC
R.I.P MANGI
IMG-20241223-WA0008.jpg
 
pole kwa familia, sema polisi nao kupitia kitengo chao cha trafiki wangekaa kuangalia wanasaidia vipi mafuriko ya magari huko barabarani kwenye high season kama hii
 
Siku ikipangwa imepangwa tu mzee.

Tunapoletwa duniani hatuulizwi kama tupo tayari kuja, na tunapotolewa pia hatuambiwa wala kuulizwa. Life has never been fair since day 1.
hii nadharia ina ukakasi japo ndo reality lakini viumbe hai siku zote tupo katika nature ya kujilinda,

leo hii ukipata meli tunatarajia kue na life jackets ili likitokea lolote watu waweze kujitetea huku wakisuburi msaada hatuwezi sema hakuna umuhimu wa life jackets kisa kifo hakikimbiliki.

hali kadhalika huko porini simba anakula wanyama wengine ila swala akimuona simba lazima ajihami kujitetea asiliwe.

hivyo hata barabarani siku zote duniani kote wanaweka mikakati ya kupunguza ajali zinazoweza kuepukika, watu wafe kwa njia zingine ambazo zipo nje ya uwezo
 
Back
Top Bottom