Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Yani kafanya usafi nako ni tatizo?Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha duniaView attachment 3170132
Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua ugomvi na kuamua kumpa talaka.
Kwanini aondoke na rasta alafu arudi na kipara? Hata mi ningeshtuka. We huogopi mchawi mstaafu?Yani kafanya usafi nako ni tatizo?
Alinyoa, akaliwa kimasihara. Akarudi kwa mme wake, mume akagunduaMapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha duniaView attachment 3170132
Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua ugomvi na kuamua kumpa talaka.
Mzee bibi Kaondoka na vuzi then karudi mweupe why asingefanya huo usafi akiwa kwa mumewe?Yani kafanya usafi nako ni tatizo?
Una nongwa sana we mzee wa zamani
Nyumba zimejaa,watu wametapakaa kila mahali,huo muda wa kunyoa kaupata wapJamaa ana hoja, ni ngumu kufanya usafi maeneo kama hayo kipindi cha msiba. Kuna namna...
Aliona ni vema kurudi na kiwanda kikiwa safi😁Kwanini aondoke na rasta alafu arudi na kipara? Hata mi ningeshtuka. We huogopi mchawi mstaafu?
Popote utakapoenda,ukirudi lazima ukaguliwe kama iko vile ilivyoachwaUna nongwa sana we mzee wa zamani
Kwani nimeenda wapi nirudipo nikaguliwe????
ni mwendo wa rasta🤣🤣🤣🤣
Maswali ya msingi kabisa hayo, aliwezaje kunyoa ilhali ana majonzi...?Nyumba zimejaa,watu wametapakaa kila mahali,huo muda wa kunyoa kaupata wap