Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Wakumtizama mkewe akiwa anajifanyia usafi au kumfanyia yeye mwenyewe 😀
Anafanya yeye mwenyewe yaani usimamizi ule ambao unahakikisha shamba limekuwa jeupee. Japo pamoja na haya yote ukweli unabaki pale pale hawa wenzetu wana kipaji cha kupretend
 
Hapana hiyo nakataa wengine ni akili zao, wanarogwa makwao tu wasijali wake zao.
Uchawi wa hivi huu sijawahi kusikia aise. Arogwe kwao ili asijali mke? Hapana. Mke ndio mlozi hapo kamtia Limbwata
 
Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha duniaView attachment 3170132

Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua ugomvi na kuamua kumpa talaka.
Jamaa amehisi mke kaliwa msibani
 
Wanaawqakle wa kizazi chetu ni jeuri tu😄
Kumbuka walipotoka wanawake na wanaume wametokea hapo hapo, unazani wanaume wao wanajua kuishi na wake zao? Vijana wengi wanataka wahudumiwe kama wame ila wao kusimama kama wame hawataki, ila ndoa iliharibika anasingiziwa mwanamke
 
Back
Top Bottom