Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Bro ataka kibox manyoya!Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha duniaView attachment 3170132
Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua ugomvi na kuamua kumpa talaka.