Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Vijana acheni upuuzi wa kuamini kiwa mbususu yako weye peke...hawa warembo wetu sote tusiogope wala tusi-mind kushare ze mbususus
Subiri uone ndipo uje usome upuuzi ulioandika hapo.

Unajiona una akili sana kushinda Mungu na Musa. Mungu alisema mwanamke asizini, Musa akaweka sheria ya mwanamke azinie apigwe mawe. Mungu akasema usitamani mke wa mwanaume mwenzio, japo hata siku hizi kwa akili zenu mbovu kama zako mnatamaniana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake.
 
Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha duniaView attachment 3170132

Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua ugomvi na kuamua kumpa talaka.
Naunga mkono kabisa, kwanini nyumbani afuge halafu kwa shangazi ajifanye ananyoa??
 
Huondoke na msitu utur na uaraza dah hata mimi sikuelew
 
na muunga mkono jamaa kwanini nyoe huko msibani hata mimi alienda kwa kusalimia hakunyoa anarudi nikakuta amenyoa alafu nikakuta meseji kwe cm yake inasema mama angu alafu namba ngeni haya majitu ya ovyo kweli
 
Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha duniaView attachment 3170132

Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua ugomvi na kuamua kumpa talaka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dunia haiishi vituko, turushie kapic ka hicho kipara , mafuta ya nazi yapo!
 
Yani kafanya usafi nako ni tatizo?
Mashana, inategemeana na usafi wa eneo Gani. Ila kutokana na maelezo hayo inawezekana jamaa alijua jambo Fulani kumuhusu mkewe akiwa huko msibani, hivyo kunyoa ikawa ni sababu kuu ya kumtimua, maana angesema amtimue Kwa tuhuma za kuchepuka isingewezakana kutokana na kukosa ushahidi
 
Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha duniaView attachment 3170132

Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua ugomvi na kuamua kumpa talaka.
Huyo jamaa kwenye picha mbona kageuza suluali,ana matatizo ya akili ama ni maagizo?
 
Back
Top Bottom