kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ana hofu kuna jamaa kamshauri kunyoa baada ya kukuta msitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataenda kusuluhisha,,swala dogo sana hiloBasi shangazi kavunja ndoa..!!
Kila la kheriSipo ila soon nitakuwepo ili nkalete ushuhuda
Kaenda usukumani
Uweeeeeeeeee...!! labda abebe na vuzi lililonyolewa..!!Ataenda kusuluhisha,,swala dogo sana hilo
Hahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂 aseeeeeUweeeeeeeeee...!! labda abebe na vuzi lililonyolewa..!!
kufanya nin na npo hapa namsubiri na vudhi nmenyoaKaenda usukumani
Usafi Angefanyia Nyumbani😂Yani kafanya usafi nako ni tatizo?
Tusisahau nyumbani msibabi alikoenda, kuna wale waliocheza naye kujificha nyumba ya nyumba na uvunguni na wale wa ngoma za vigodoro na mchiriku au lizombe bado wapo.Maswali ya msingi kabisa hayo, aliwezaje kunyoa ilhali ana majonzi...
Waliojificha nyuma ya nyumbaTusisahau nyumbani msibabi alikoenda, kuna wale waliocheza naye kujificha nyumba ya nyumba na uvunguni na wale wa ngoma za vigodoro na mchiriku au lizombe bado wapo.
Sina hizo tabia za kukagua nyeti kabisa.😂😂😅kimekusibu nn
Kunyoa mpaka uwe na appointment?kufanya nin na npo hapa namsubiri na vudhi nmenyoa
Kufanya usafi siyo tatizo, ila unafanyia wapi? Kwani wewe unaweza nyoa vuzi sokoni?Yani kafanya usafi nako ni tatizo?
Aende kula kwa aliyemnyoleaNyumba zimejaa,watu wametapakaa kila mahali,huo muda wa kunyoa kaupata wap
Jamaa ana uzoefu na kunyoa kwa mkewe. Sisi ni nani hata tumpinge.misiba miwili tayari...
utasema sasaSina hizo tabia za kukagua nyeti kabisa.
🤣😄😀😃😃 jokes,picha ya kipara tafadhari