Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

Anatakiwa afanyiwe nyumbani tena chini ya uangalizi
Hivi unazani wanaume wote wana akili hizo? Mwingine hajali chochote, mke hata afanye nini anakenua tu, mke anatoka mapema anaita bodaboda hata kusema ngoja nione anayemchukua ni nani yeye anakoroma kitandani, sasa huyo atajua shamba linasafishwa lini!
 
Hivi unazani wanaume wote wana akili hizo? Mwingine hajali chochote, mke hata afanye nini anakenua tu, mke anatoka mapema anaita bodaboda hata kusema ngoja nione anayemchukua ni nani yeye anakoroma kitandani, sasa huyo atajua dhamba linasafishwa lini!
Aina hii ya mwanaume anakuwa amerogwa. Ndio hii mtu mke anaweza kwenda kazini au sokoni tu asbuhi anarudi jioni shamba limesafishwa na hajui aise😃😄
Ila tunapiga aise
 
Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha duniaView attachment 3170132

Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua ugomvi na kuamua kumpa talaka.
Mwamba yuko thorough na mali zake
 
Aina hii ya mwanaume anakuwa amerogwa. Ndio hii mtu mke anaweza kwenda kazini au sokoni tu asbuhi anarudi jioni shamba limesafishwa na hajui aise😃😄
Ila tunapiga aise
Karogwa na nani sasa hapo
 
Back
Top Bottom