Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Subiri uone ndipo uje usome upuuzi ulioandika hapo.Vijana acheni upuuzi wa kuamini kiwa mbususu yako weye peke...hawa warembo wetu sote tusiogope wala tusi-mind kushare ze mbususus
Unajiona una akili sana kushinda Mungu na Musa. Mungu alisema mwanamke asizini, Musa akaweka sheria ya mwanamke azinie apigwe mawe. Mungu akasema usitamani mke wa mwanaume mwenzio, japo hata siku hizi kwa akili zenu mbovu kama zako mnatamaniana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake.