TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Ahsante kwa Kunielimisha Mkuu
Ila Pia Unaweza Kuwa na Prostate gland bila Kuwa na Prostate Cancer,ni vitu viwili Tofauti,Watu wenye Tezi Dume,si Lazima awe na Cancer,nilikuwa na Rafiki yangu,ndugu yake alikuwa na Tezi Dume, walipomkata kile kinyama kukipima wakakuta hana Cancer ila Ile Prostate ilikuwa inekuwa kubwa Cm 63.
Hivyo Kupelekea Kuziba Njia ya Mkojo/Kukojoa Mara Kwa Mara!
 
Inna liLlahi wa inna ilaihi Rrajiuun Allah ampumzishe kwa amani na ampe kauli thabit inshaAllah
 
Inna liLlahi wa inna ilaihi Rrajiuun Allah ampumzishe kwa amani na ampe kauli thabit inshaAllah
 
Hivi hili neno huwa lina maana gani, lugha ya kiarabu sikubahatika kupita nayo ,hili neno[emoji117] " inna lillah Wa inna ilaihi Rajiuun"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…