TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Wale wa kik za msibani kazi kwao.. Haha, ila safari shikeni japo dolari sio vitambaa vya jasho.
 
Poleni wafiwa. Apumzeke anakostahili. Amen.
 
Hakika amefanikiwa kuirudia furaha iliyo kuu ambayo aliiacha pale alipozaliwa

Nasi twaelekeamo humo [emoji120]
 
Dah huyu mzee alikua ananikata sana stimu...
Mola amlaze mahali pema.
Kupitia vituko vyake wengi alitufanya furaha irudi Mioyoni mwetu.

Ila hiyo picha ya jiwe ya nini tena hapo!?!?
 
Tezi dume tezi dume mbona unawaondoa sana wazee wetu .
RIP King wa ukweli
 
Sisi waislam safi tunasema

Inna lillahi wa inna ilaihi raji'oon

Kuna msemo unao sema kufa kufaana....

Ya mungu mengi unaweza shtukia akaja akasema huo msiba umemgusa sana ivyo ameombwa na wasanii wenzake hausimamie
Bila shaka atakuwa n chief director.. yule bwana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Dust to dust.... pumzika kwa amani king Majuto.... Maisha lazima yaendelee hicho ndo kinachoniuma zaidi... baada ya wiki kazaa watu watakusahau kama ulikuwepo na kazi zako zote....... daah maisha haya.... live life to the fullest ukisepa ndo umesepa hakuna cha legacy wala nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…