Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hey
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tuuKazi ipooo na badooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuuuhNilijua tuu
Amri zote pia zifumuliwe na kuangaliwa upya!Salaam zenu nyote!
Kwa upekee kabisa Mungu ametuumba sisi wanaume kwa namna ya kimantiki na matumizi bora ya kimamuuzi Kwa kutumia macho yetu kwa namna thabiti, kwa maarifa, hekima na busara.
Kwa kutumia macho hasa katika Dunia hii iliyojaa gharika la upotofu, wanaume hatukurupuki tumeumbiwa macho tuyatumie ikiwa ni pamoja kuitafakari hali yoyote inayoweza kusababisha dhambi kwa umakini zaidi ili kufanya maamuzi ya kuikataa dhambi na kuikemea dhambi huishi na mtambuka ya Uzinzi na uasherati
Hivyo basi tusisumbuane ukiona mimi pamoja na wanaume wengine tukigeuka kutazama au kuwaangalia wanawake sio kwa dhamira ya kutamani bali sisi wanaume tumeumbiwa macho ili tuyaangalie mambo kwa kina ili kuishinda dhambi rejea ya amri ya 6, baada ya kuitafakari vizuri.
Maana kisa cha bustani ya Eden, kinatupa maarifa ya kwamba mwanaume si mwanzilishi wa dhambi au mazingira ya dhambi hivyo anajihami kwa kuwa makini hasa kwa kutumia macho vizuri.
Na hii busara na hekima imejengwa pia kama sehemu ya kuikemea pepo la kimavazi la wanawake, huwa tunalikemea hilo pepo kwa kutumia macho.
Uinjilisti wa mwanaume umebebwa na mantiki hasa iliyokaa kwenye macho.
Tunapogeuka kuitathimini dhambi ya kimavazi tunaitumia macho kukemea na kuitafakari kwa kiina ili kufanya maamuzi yalojaa maarifa.
Naomba kuwasilisha kwa usambazaji wa haya maandiko hio amri isipotoshwe tena ufafanuzi huu utumike katika mafundisho yote.
Ni hayo tu
Wadiz
Kwa hiyo ukiangalia kwa macho na ukatamani unakuwa haujatamani kimantiki ila umekemea upotofu wa kimavazi wa wanawake?Ndiyo hivyo?Basi,umefutiwa dhambi zako.Anza upya!🤔🤔🤔🤔Salaam zenu nyote!
Kwa upekee kabisa Mungu ametuumba sisi wanaume kwa namna ya kimantiki na matumizi bora ya kimamuuzi Kwa kutumia macho yetu kwa namna thabiti, kwa maarifa, hekima na busara.
Kwa kutumia macho hasa katika Dunia hii iliyojaa gharika la upotofu, wanaume hatukurupuki tumeumbiwa macho tuyatumie ikiwa ni pamoja kuitafakari hali yoyote inayoweza kusababisha dhambi kwa umakini zaidi ili kufanya maamuzi ya kuikataa dhambi na kuikemea dhambi huishi na mtambuka ya Uzinzi na uasherati
Hivyo basi tusisumbuane ukiona mimi pamoja na wanaume wengine tukigeuka kutazama au kuwaangalia wanawake sio kwa dhamira ya kutamani bali sisi wanaume tumeumbiwa macho ili tuyaangalie mambo kwa kina ili kuishinda dhambi rejea ya amri ya 6, baada ya kuitafakari vizuri.
Maana kisa cha bustani ya Eden, kinatupa maarifa ya kwamba mwanaume si mwanzilishi wa dhambi au mazingira ya dhambi hivyo anajihami kwa kuwa makini hasa kwa kutumia macho vizuri.
Na hii busara na hekima imejengwa pia kama sehemu ya kuikemea pepo la kimavazi la wanawake, huwa tunalikemea hilo pepo kwa kutumia macho.
Uinjilisti wa mwanaume umebebwa na mantiki hasa iliyokaa kwenye macho.
Tunapogeuka kuitathimini dhambi ya kimavazi tunaitumia macho kukemea na kuitafakari kwa kiina ili kufanya maamuzi yalojaa maarifa.
Naomba kuwasilisha kwa usambazaji wa haya maandiko hio amri isipotoshwe tena ufafanuzi huu utumike katika mafundisho yote.
Ni hayo tu
Wadiz
Ndio Mkuu hio ni hekima, busara na akili tulivu ya mwanaume hakemei dhambi kwa papara anaiangalia kwanza kisha aone namna bora ya kuikemea na kuishindaKwa hiyo ukiangalia kwa macho na ukatamani unakuwa haujatamani kimantiki ila umekemea upotofu wa kimavazi wa wanawake?Ndiyo hivyo?Basi,umefutiwa dhambi zako.Anza upya!🤔🤔🤔🤔