Hii amri ilitokea wapi na lini iliingizwa kwenye taratibu za kikazi ndani ya jeshi la polisi Tanzania?
Kama amri ni kudhibiti vurugu/fujo kwa kutumia nguvu; maana yake ni kuua wahusika?
Hakuna njia nyingi nyingine za kudhibiti ghasia fujo; bali kuwaua wahusika?
Watu wanakimbia, polisi anapewa amri apige risasi kuua watu wasiohatarisha usalama wa polisi?
Hii dhana ya kuua waTanzania, lengo lake hasa ni nini?
Kuna nchi nyingine yoyote duniani, ambayo muundo wa jeshi lake la polisi ni kuua raia hata wasiokuwa na dhamira ya kuhatarisha utendaji kazi wa jeshi la polisi?
Hapa kwetu amri imekuwa "lenga kuua" na siyo dhibiti ili mhusika afikishwe kwenye vyombo husika vya maamuzi; kwa nini imekuwa hivi?