impunity ndio tatizoHii amri ilitokea wapi na lini iliingizwa kwenye taratibu za kikazi ndani ya jeshi la polisi Tanzania?
Kama amri ni kudhibiti vurugu/fujo kwa kutumia nguvu; maana yake ni kuua wahusika?
Hakuna njia nyingi nyingine za kudhibiti ghasia fujo; bali kuwaua wahusika?
Watu wanakimbia, polisi anapewa amri apige risasi kuua watu wasiohatarisha usalama wa polisi?
Hii dhana ya kuua waTanzania, lengo lake hasa ni nini?
Kuna nchi nyingine yoyote duniani, ambayo muundo wa jeshi lake la polisi ni kuua raia hata wasiokuwa na dhamira ya kuhatarisha utendaji kazi wa jeshi la polisi?
Hapa kwetu amri imekuwa "lenga kuua" na siyo dhibiti ili mhusika afikishwe kwenye vyombo husika vya maamuzi; kwa nini imekuwa hivi?
An order from their goddess. Wako juu ya sheria!Hii amri ilitokea wapi na lini iliingizwa kwenye taratibu za kikazi ndani ya jeshi la polisi Tanzania?
Kama amri ni kudhibiti vurugu/fujo kwa kutumia nguvu; maana yake ni kuua wahusika?
Hakuna njia nyingi nyingine za kudhibiti ghasia fujo; bali kuwaua wahusika?
Watu wanakimbia, polisi anapewa amri apige risasi kuua watu wasiohatarisha usalama wa polisi?
Hii dhana ya kuua waTanzania, lengo lake hasa ni nini?
Kuna nchi nyingine yoyote duniani, ambayo muundo wa jeshi lake la polisi ni kuua raia hata wasiokuwa na dhamira ya kuhatarisha utendaji kazi wa jeshi la polisi?
Hapa kwetu amri imekuwa "lenga kuua" na siyo dhibiti ili mhusika afikishwe kwenye vyombo husika vya maamuzi; kwa nini imekuwa hivi?
Maana yake ni kwamba maisha ya kila mmoja wetu, waTanzania wooote, ni yeye huyo 'godess' anayashikilia; wakati wowote anapoamua kutoa uhai wa mTanzaia yeyote kwa sababu yoyote ile, anafanya hivyo; kama wewe ulivyo na uamzi wa kumchinja jogoo unayemfuga!An order from their goddess. Wako juu ya sheria!
Ni nguruwe mfugwaji pekee ndiye anayeweza kuwa na akili za aina hii.Ila wale nyumbu vibaka wachoma magari ya watu, mali za umma, wavunjaji na wezi wa mali za watu , wanastahili moto mkali wachomwe kama popcorn
Anaye kufuga na kukunenepesha kwa makombo; ukiwa nguruwe hategemei msaada wowote kwa mawazo ya kumtetea kutoka kwako. Sasa unategemea nipoteze muda na nguruwe hapa!Wakati amri hiyo ikitoka wewe ulikuwa kwa wapi?mbona wewe ni mzima na unapost humu?
Haswaaa… Wahanga ni wengi sana, so far!Maana yake ni kwamba maisha ya kila mmoja wetu, waTanzania wooote, ni yeye huyo 'godess' anayashikilia; wakati wowote anapoamua kutoa uhai wa mTanzaia yeyote kwa sababu yoyote ile, anafanya hivyo; kama wewe ulivyo na uamzi wa kumchinja jogoo unayemfuga!
Hii ni nchi ya namna gani hii?
CCM haipo tena mkuu, labda useme jina linalotumiwa na hawa waovu.Hiyo ni sera ya ccm. Kuua yeyote anayewapinga au kuwakosoa.
Amri imetoka CCMHii amri ilitokea wapi na lini iliingizwa kwenye taratibu za kikazi ndani ya jeshi la polisi Tanzania?
Kama amri ni kudhibiti vurugu/fujo kwa kutumia nguvu; maana yake ni kuua wahusika?
Hakuna njia nyingi nyingine za kudhibiti ghasia fujo; bali kuwaua wahusika?
Watu wanakimbia, polisi anapewa amri apige risasi kuua watu wasiohatarisha usalama wa polisi?
Hii dhana ya kuua waTanzania, lengo lake hasa ni nini?
Kuna nchi nyingine yoyote duniani, ambayo muundo wa jeshi lake la polisi ni kuua raia hata wasiokuwa na dhamira ya kuhatarisha utendaji kazi wa jeshi la polisi?
Hapa kwetu amri imekuwa "lenga kuua" na siyo dhibiti ili mhusika afikishwe kwenye vyombo husika vya maamuzi; kwa nini imekuwa hivi?
Yuko sahihi, historia inathibitisha hilo.CCM haipo tena mkuu, labda useme jina linalotumiwa na hawa waovu.
Swali linalo hitaji jibu ni je, watajiondoa salama vipi kwenye janga hili walilolifanya wenyewe?Kulinda chama dola ndyo tatizo.kwabahati mbaya amri imewala wote haikujali kijani
Wana uzoefu na hali hio. Maoni yangu shida ya msingi ni wao kutafuta umoja miongoni mwao (nakusudia CCM) wakiweza hilo hili unalotilia shaka wanaweza kutoka.Swali linalo hitaji jibu ni je, watajiondoa salama vipi kwenye janga hili walilolifanya wenyewe?
Haishangazi hata kidogo kwa mtu kama wewe kuja na hadithi hiyo ya "historia"!Yuko sahihi, historia inathibitisha hilo.
Mzee kalamu Ulichochea maandamano alafu ukafanya usafi uvunguni safari hii hujajificha juu ya dari maana ulijua risasi itatoboa bati ukaamua ujifiche uvunguni siku 3Ni nguruwe mfugwaji pekee ndiye anayeweza kuwa na akili za aina hii.
Kwa hiyo wewe ni nguruwe.