Umoja unaoundwa na watu waovu dhidi ya raia wote wa nchi; haya ni mawazo ya kipekee sana.Wana uzoefu na hali hio. Maoni yangu shida ya msingi ni wao kutafuta umoja miongoni mwao (nakusudia CCM) wakiweza hilo hili unalotilia shaka wanaweza kutoka.
Mkuu sijataka mjadala, nimeunga mkono hoja tu.Haishangazi hata kidogo kwa mtu kama wewe kuja na hadithi hiyo ya "historia"!
Ukitaka kukumbuka niliyo kueleza kule mwanzo, najuwa huto'admit' unacho kizungumzia hapa.
Hata hivyo, nilisha hitimisha mjadala na wewe wa kistaarabu, kwa sababu nilizo zieleza huko nyuma. Kwa hiyo ukitaka kuendeleza yaleyale ya huko sitakuwa na ustaarabu wa kukujibu ipasavyo.
Fahamu tu kwamba muda wa kupoteza na nguruwe haupoMzee kalamu Ulichochea maandamano alafu ukafanya usafi uvunguni safari hii hujajificha juu ya dari maana ulijua risasi itatoboa bati ukaamua ujifiche uvunguni siku 3
Unaweza kataa, na sina sababu ya kukubishia. Ila ninacho jua wana CCM kwa ujumla wao bado hawako tayari kuona chama chao kinatoka Ikulu, na hilo ndio litakalo warudisha pamoja baada ya kupishana ktk uchaguzi.Umoja unaoundwa na watu waovu dhidi ya raia wote wa nchi; haya ni mawazo ya kipekee sana.
Usalama wa chama cha waovu, dhidi ya umma wa waTanzania wote! Ni swala la muda tu.Kila anae tishia usalama wa chama hukumbwa na hali hio, kama hutaki pia ni sawa.
sina shida na swala la muda, kuna wakati utafika watatoka tu.Usalama wa chama cha waovu, dhidi ya umma wa waTanzania wote! Ni swala la muda tu.
Ukweli ni kwamba hakuna chama cha namna hiyo. CCM haina wanachama unao wawazia wewe kwenye akili yako. Hili ni genge tu la watu wanaotumia jina la chama hicho kufanya maovu yote haya.
How sustainable is this approach?Hiyo ni sera ya ccm. Kuua yeyote anayewapinga au kuwakosoa.
Eti Mungu awalaze pema raia wema, we kenge acha kupretend kwamba umeumia roho, hatutaki unafiki hapa. Mtoto mjinga kama baba yake 🚮🚮Mungu awalaze pema raia wema ambao hawakuandamana na wakauwawa bila hatia.
Ila wale nyumbu vibaka wachoma magari ya watu, mali za umma, wavunjaji na wezi wa mali za watu , wanastahili moto mkali wachomwe kama popcorn
Basically Kalamu hivyo ndivyo mataifa/serikali yalivyo/zlivyo, na hapa kwetu ni ngumu sana kutofaitisha chama na serikali au taifa. Viko well connected, mpaka tutakapo badili katibaHow sustainable is this approach?
Wataendelea na hii hadi lini wao wakibaki kuwa salama?
Sijawaombea dua Nyumbu wenzako vibaka mliokua mnaandamana nao wakapigwa risasi, nimewaombea Dua raia wema ambao hawajajihusisha na hayo maandamano ya kihalifu na wakapatwa na vifo, ila wale nyumbu wenzako wachoma mali za watu hao walistahili kufa.Eti Mungu awalaze pema raia wema, we kenge acha kupretend kwamba umeumia roho, hatutaki unafiki hapa. Mtoto mjinga kama baba yake 🚮🚮
Mkuu Kalamu . Tanzania ilivyo sasa hivi, polisi kama ana kisasi na raia anaweza kumuua muda wowote na asichukuliwe hatua. Imagine kwenye hizi vurugu kama una ugomvi na polisi, angeamua kukupiga risasi si ingeonekana kama umeua kwenye maandano? Siyo hilo tu, hata mtu mwenye ugomvi na mkewe au jirani angeweza kabisa kuua na ionekane kama ni vurugu za maandano. Yaani tuko kwenye kipindi kibaya sana sana na inaonekana kabisa uongozi wa juu wa nchi hauna ''ubongo'' wa kuweza kuona mambo kwa kina.Hii amri ilitokea wapi na lini iliingizwa kwenye taratibu za kikazi ndani ya jeshi la polisi Tanzania?
Kama amri ni kudhibiti vurugu/fujo kwa kutumia nguvu; maana yake ni kuua wahusika?
Hakuna njia nyingi nyingine za kudhibiti ghasia fujo; bali kuwaua wahusika?
Watu wanakimbia, polisi anapewa amri apige risasi kuua watu wasiohatarisha usalama wa polisi?
Hii dhana ya kuua waTanzania, lengo lake hasa ni nini?
Kuna nchi nyingine yoyote duniani, ambayo muundo wa jeshi lake la polisi ni kuua raia hata wasiokuwa na dhamira ya kuhatarisha utendaji kazi wa jeshi la polisi?
Hapa kwetu amri imekuwa "lenga kuua" na siyo dhibiti ili mhusika afikishwe kwenye vyombo husika vya maamuzi; kwa nini imekuwa hivi?
Muendelezo wa yale yale ya utekaji, upoteaji uuaji unaofanywa na watu tuliokubali wenyewe kuwabatiza jina la "wasiojulikana"!Mkuu Kalamu . Tanzania ilivyo sasa hivi, polisi kama ana kisasi na raia anaweza kumuua muda wowote na asichukuliwe hatua. Imagine kwenye hizi vurugu kama una ugomvi na polisi, angeamua kukupiga risasi si ingeonekana kama umeua kwenye maandano? Siyo hilo tu, hata mtu mwenye ugomvi na mkewe au jirani angeweza kabisa kuua na ionekane kama ni vurugu za maandano. Yaani tuko kwenye kipindi kibaya sana sana na inaonekana kabisa uongozi wa juu wa nchi hauna ''ubongo'' wa kuweza kuona mambo kwa kina.
Sahihi hali ya juzi haya yngeweza tokea, kwasababu walio organize walitaka civil disobedience.Mkuu Kalamu . Tanzania ilivyo sasa hivi, polisi kama ana kisasi na raia anaweza kumuua muda wowote na asichukuliwe hatua. Imagine kwenye hizi vurugu kama una ugomvi na polisi, angeamua kukupiga risasi si ingeonekana kama umeua kwenye maandano? Siyo hilo tu, hata mtu mwenye ugomvi na mkewe au jirani angeweza kabisa kuua na ionekane kama ni vurugu za maandano. Yaani tuko kwenye kipindi kibaya sana sana na inaonekana kabisa uongozi wa juu wa nchi hauna ''ubongo'' wa kuweza kuona mambo kwa kina.
Kuna yule shekhe kaliwa kichwa masaa machache toka atoke kumwombea dua samiaKulinda chama dola ndyo tatizo.kwabahati mbaya amri imewala wote haikujali kijani
Snitch mkubwa sana yule jamaa. 🚮Kiako Cha bakwata na kauli mbiu ya " Bora mtu afe amani ipone " Mhusika wa pili Mkunda baada ya kuwaita wote wanao and Mana wahalifu kilichofuata ni Mauaji.
Pale alipo hata yeye hajiaminiSnitch mkubwa sana yule jamaa. 🚮