Mbona unajichanganya sasa!Basically Kalamu hivyo ndivyo mataifa/serikali yalivyo/zlivyo, na hapa kwetu ni ngumu sana kutofaitisha chama na serikali au taifa. Viko well connected, mpaka tutakapo badili katiba
Hapana hakuna kujichanganya, nilichosema kwingine ni ukicheza na interest za taifa, hapa kwetu ni tofauti kwakuwa chama/serikali/taifa ni kama vimeungana mpaka watakapo badili katiba ili kukitenga chama na serikali/taifa.Mbona unajichanganya sasa!
Upande mmoja unasema "ndivyo mataifa/serikali yalivyo/zilivyo....."; na hapo hapo unasema "...mpaka tutakapo badili katiba." Huko kwingine nako wanasubiri "kubadili katiba", ili wasiwe kama tulivyo sisi na walivyo wao sasa hivi?
Tatizo lako (lenu) ni kutafuta ku'justify' maovu yanayofanywa na hawa watu waovu kabisa kwa sababu mnazozijuwa wenyewe.
Kama unaona kitu hakifai, sema wazi hakifai, usianze kutafutiza visababu vya kueleza kwa nini ni lazima iwe hivyo. Hili ndilo tatizo ambalo huwa napata shida kubwa katika kujadili lolote na watu wa aina hii, inabaki tu kuzungshana, kona hii, baada ya ile; mkitoka huko kunazuka kona nyingine! Mtindo wa hovyo sana wa kujadiliana kwa kutafuta kuchoshana tu.
Ni sababu hizi hizi ndizo zinazoleta vurugu kila mara katika baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati; kwa sababu hakuna kujadiliana na kufikia mwafaka na kuaminiana juu ya mlicho kubaliana. Ni utamaduni wa hovyo sana.
Maana yako ya "Taifa" ni nini? Chama, serikali na CCM?ukicheza na interest za taifa, hapa kwetu ni tofauti kwakuwa chama/serikali/taifa ni kama vimeungana mpaka watakapo badili katiba ili kukitenga chama na serikali/taifa.
Sijui kama utanielewa, Nchi hii ina katiba ya chama kimoja mpaka sasa. Hope that will help to answer all your questions.Maana yako ya "Taifa" ni nini? Chama, serikali na CCM?
Kwa maana hiyo "interests za taifa" ni 'interests' za cham/serikali/ccm"?
Mimi nitakwambia kuwa hata hili siyo sahihi; kwa sababu ni wazi kabisa hapa Tanzania sasa hivi siyo 'interests' za chama/serikali wala hilo 'imaginary' taifa unalolizungumzia wewe.
Tulicho nacho hapa ni interests za Samia na Genge lake, na hili unalijuwa vizuri kabisa. kutokana na ninayokusoma ukiyatetea.
Hiyo "katiba", pamoja na ubovu wake hakuna hata mahali popote inapohalalisha uovu kama huu unaofanyika sasa hivi. Na hajawahi kuwepo na uongozi ovu kama tunao ushuhudia chini ya Samia na Genge lake Hawa ni wahalifu wa moja kwa moja, kilichobaki tu, ni kuwanyang'anya nyenzo wanazotumia kufanya uovu wao ili wawajibishwe.Sijui kama utanielewa, Nchi hii ina katiba ya chama kimoja mpaka sasa. Hope that will help to answer all your questions.
Wewe huwezi kujuwa Genge kwa sababu ni sehemu yao; kwani yote niliyo kwisha kukufahamisha bado huelewi nilikuwa nazungumzia kitu gani?Kuhusu genge, tukubali kutofautiana..kwangu hayo ni majungu ya kisiasa tu. Haina maana nakataa mtu XX kuwakaribu na mtu YY, ila ukaribu wa watu ni vitu vya kawaida ktk tawala/uongozi..muhimu taratibu/haki zitendwe
Atalipa tu, hakuna namna.Nakumbuka wakati wa kampeni huko kanda ya ziwa, limama aliamuru vijana washughulikiwe kwa kosa tu eti wanafanya vurugu (na hali halisi ilikuwa wanaondoka uwanjani hapo baada ya kuingia kwa kutaka tu hela, walipopata hawakutaka kuendelea). Order alivyoitoa mpaka ilikuwa inashangaza. Bila huruma, for petty reasons. Eti ‘Askari washughulikieni wale vijana pale kati wanasukuma wenzao, washughulikieni..’. Sasa sipati picha order ilivyotoka ile juzi kwenye maandamano. Order ilitoka kweli maana Askari walisema wanaorder ya kuua na si vinginevyo.
naona unaruka na kukimbia, ila kweli tuokoe muda na nguvu.Atalipa tu, hakuna namna.
Ninaruka na kukimbia wapi. Huelewi mtu anapokueleza kuwa huna jipya bali msukumo ule ule wa siku zote wa watu wenye ajenda mnazopigania?naona unaruka na kukimbia, ila kweli tuokoe muda na nguvu.
Nimalizie ktk hili la katiba dola/taifa na CCM, kwa ushauri pengine sehemu ya kuanzia ndogo unayo weza kubaliana nayo kirahisi ni TAL, Tenga muda na sikiliza interview zake akiongea eneo hilo, kwakuwa ana interview nyingi basi angalau anzia na alizo fanya mwaka huu, ikukupendeza kufanya hivyo.
Hao walikuwa magaidi ndiyo maana yalikuwa yanaharibu miundombinu ya umma na watu binafsi.Hii amri ilitokea wapi na lini iliingizwa kwenye taratibu za kikazi ndani ya jeshi la polisi Tanzania?
Kama amri ni kudhibiti vurugu/fujo kwa kutumia nguvu; maana yake ni kuua wahusika?
Hakuna njia nyingi nyingine za kudhibiti ghasia fujo; bali kuwaua wahusika?
Watu wanakimbia, polisi anapewa amri apige risasi kuua watu wasiohatarisha usalama wa polisi?
Hii dhana ya kuua waTanzania, lengo lake hasa ni nini?
Kuna nchi nyingine yoyote duniani, ambayo muundo wa jeshi lake la polisi ni kuua raia hata wasiokuwa na dhamira ya kuhatarisha utendaji kazi wa jeshi la polisi?
Hapa kwetu amri imekuwa "lenga kuua" na siyo dhibiti ili mhusika afikishwe kwenye vyombo husika vya maamuzi; kwa nini imekuwa hivi?
una mali gani wewe zaidi ya kumili mkyundu uliobomolewa tangu ukiwa madrasaMungu awalaze pema raia wema ambao hawakuandamana na wakauwawa bila hatia.
Ila wale nyumbu vibaka wachoma magari ya watu, mali za umma, wavunjaji na wezi wa mali za watu , wanastahili moto mkali wachomwe kama popcorn
na amri yakuchoma vituo vya polisi na mali zawatu ilitolewa nanani. je kweli yaleyalikuwa maamdamano ujambazi.wewe ulitaka polisi wajitetevipiHii amri ilitokea wapi na lini iliingizwa kwenye taratibu za kikazi ndani ya jeshi la polisi Tanzania?
Kama amri ni kudhibiti vurugu/fujo kwa kutumia nguvu; maana yake ni kuua wahusika?
Hakuna njia nyingi nyingine za kudhibiti ghasia fujo; bali kuwaua wahusika?
Watu wanakimbia, polisi anapewa amri apige risasi kuua watu wasiohatarisha usalama wa polisi?
Hii dhana ya kuua waTanzania, lengo lake hasa ni nini?
Kuna nchi nyingine yoyote duniani, ambayo muundo wa jeshi lake la polisi ni kuua raia hata wasiokuwa na dhamira ya kuhatarisha utendaji kazi wa jeshi la polisi?
Hapa kwetu amri imekuwa "lenga kuua" na siyo dhibiti ili mhusika afikishwe kwenye vyombo husika vya maamuzi; kwa nini imekuwa hivi?
yale ni magaidi walikuwa na matalajionani kuchoma vituo vya mafuta kwamfano vituo vya mafuta vyote vilivyo chomwa moto mafuta yangelipuka wangekufa watuwangapiHao walikuwa magaidi ndiyo maana yalikuwa yanaharibu miundombinu ya umma na watu binafsi.