Amri ya sita (Usizini)

Amri ya sita (Usizini)

Dah peponi tutaingia kwa kujipenyeza sana mtumishi....."kufahamiana" dhambi nyeto dhambi, sa zikija tufanyeje... au ni kusali tu mtumishi hadi ziyeyuke
Hauwezi kusali zika nyauka bali fanya yafuatayo

1.kuwa makini sana na milango ya kiroho huwa inajenga na kukaribisha vitu vingi.

Macho,masikio ,akili na ngozi

2 .kama ukiona nishida oa usikubali kuzini ni upumbavu sana.
 
Back
Top Bottom