Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Piga mafuta ya taaDah peponi tutaingia kwa kujipenyeza sana mtumishi....."kufahamiana" dhambi nyeto dhambi, sa zikija tufanyeje... au ni kusali tu mtumishi hadi ziyeyuke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga mafuta ya taaDah peponi tutaingia kwa kujipenyeza sana mtumishi....."kufahamiana" dhambi nyeto dhambi, sa zikija tufanyeje... au ni kusali tu mtumishi hadi ziyeyuke
Ni kweli nichosisitiza fuata yale ambayo dini yako inafundisha ila usizini kataa kabisa iyo dhambiMwislamu kula nyama ya nguruwe ni dhambi, mkristo anamshuru na kutukuza Mungu wake nyama ya nguruwe ikiwa kwenye sahani yake...
Dhambi mkuuPiga mafuta ya taa
Haujitaji mkamilifu tyu iliakukamilishe .katika udhaifu ya musa mungu alieka nguvu iliikukamilishe na weweHiyo sio dhambi Mkuu amri zenyewe kaandika binadamu mwenzio Musa
Kunywa Kerosine dhambi?Dhambi mkuu
Hauwezi kusali zika nyauka bali fanya yafuatayoDah peponi tutaingia kwa kujipenyeza sana mtumishi....."kufahamiana" dhambi nyeto dhambi, sa zikija tufanyeje... au ni kusali tu mtumishi hadi ziyeyuke
Mtu Anapaswa kuchagua hatima sio kukubaliana nayoNa inawezekana wewe mwenyewe umezaliwa mimba ilitungwa kwenye uzinzi huuhuu
Mungu yupi?Haujitaji mkamilifu tyu iliakukamilishe .katika udhaifu ya musa mungu alieka nguvu iliikukamilishe na wewe
Hatuzini siku hizi, tunapeleka motoHamjambo;
Kumekuwa na kasumba kubwa inayokuta rika zote kuendekeza ngono kwa kiasi kikubwa huku wakiona ni ujanja...
😂😂😂😂 YoooKama huna adabu basi jifunze kuwa na aibu maana ni kituko kikubwa sana kuwa mjinga halafu unajiamini
Kabla sijaoa hapa napitia majaribu sana mtumishi.....Hauwezi kusali zika nyauka bali fanya yafuatayo
1.kuwa makini sana na milango ya kiroho huwa inajenga na kukaribisha vitu vingi.
Macho,masikio ,akili na ngozi
2 .kama ukiona nishida oa usikubali kuzini ni upumbavu sana.
Kwa sababu uzinzi una azia moyoni.Ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani ushaz8ni nae bora upambane mkamalizane live
KabisaWengi ni masikini kwa sababu ya kuendeleza ngono kupitia uzinzi ndio ya umasikini inasambaa.Amri ya
Usizini ni kwa faida yako wewe
Usikubali hisia zikuendeshe .Kabla sijaoa hapa napitia majaribu sana mtumishi.....
Amen🤲🙏Asante Kwa ukumbusho.
Naiusia nafsi yako na nafsi yangu Tukae mbali na zinaa.