Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wataka fanyaMtumishi hivi punyeto ni dhambi?
Asante MtumishiAsante Kwa ukumbusho.
Naiusia nafsi yako na nafsi yangu Tukae mbali na zinaa.
Changia hoja kwa hekima ,na kosoa kwa heshimaHatuzini siku hizi, tunapeleka moto
Mungu wa mbinguni?Mungu yupi?
Duniani hakuna amri mkuuMungu wa mbinguni?
Hapana nlitaka tu kujua kama nikiwa na upwiru naweza ikimbilia kama msaada ili kukwepa dhambiWataka fanya
Ungemalizia na neno shenziii kbs ingependeza zaidi πππππNa inawezekana wewe mwenyewe umezaliwa mimba ilitungwa kwenye uzinzi huuhuu
Ndio nlikuuliza mtumishi nikiwa na upwiru nizidishe tu maombi?Usikubali hisia zikuendeshe .
Pale unapoona majaribu ni mengi wala ata usi umize kichwa piga magoti ongea na mungu ako.
Tofautisha tendo la ndoa na kuzini.Bila faza ako kuupiga mwingi ungetokea??
Selfie tamHapana nlitaka tu kujua kama nikiwa na upwiru naweza ikimbilia kama msaada ili kukwepa dhambi
Shikaa rabaaaa, acha dhambi kijanaSelfie tam
ππ€£πππAmen mtumishi waambie hao wabishi km Farao
πππππShikaa rabaaaa, acha dhambi kijana
Kama ikukushinda oa/ olewaNdio nlikuuliza mtumishi nikiwa na upwiru nizidishe tu maombi?
Selfie π€³ unamaanisha nyeto?Selfie tam
NAKAZIAWasanii wanalala na wanawake kwa kutazama nyota zao wao wakizidi kufanikkwa na kuwa maarufu wanawake waliolala nao wakibakia palepale Pana Siri kubwa sana kwenye uzinzi.