Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wataka fanyaMtumishi hivi punyeto ni dhambi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataka fanyaMtumishi hivi punyeto ni dhambi?
Asante MtumishiAsante Kwa ukumbusho.
Naiusia nafsi yako na nafsi yangu Tukae mbali na zinaa.
Changia hoja kwa hekima ,na kosoa kwa heshimaHatuzini siku hizi, tunapeleka moto
Mungu wa mbinguni?Mungu yupi?
Duniani hakuna amri mkuuMungu wa mbinguni?
Hapana nlitaka tu kujua kama nikiwa na upwiru naweza ikimbilia kama msaada ili kukwepa dhambiWataka fanya
Ungemalizia na neno shenziii kbs ingependeza zaidi 😂😂😂😂😂Na inawezekana wewe mwenyewe umezaliwa mimba ilitungwa kwenye uzinzi huuhuu
Ndio nlikuuliza mtumishi nikiwa na upwiru nizidishe tu maombi?Usikubali hisia zikuendeshe .
Pale unapoona majaribu ni mengi wala ata usi umize kichwa piga magoti ongea na mungu ako.
Tofautisha tendo la ndoa na kuzini.Bila faza ako kuupiga mwingi ungetokea??
Selfie tamHapana nlitaka tu kujua kama nikiwa na upwiru naweza ikimbilia kama msaada ili kukwepa dhambi
Shikaa rabaaaa, acha dhambi kijanaSelfie tam
😂🤣😁😁😁Amen mtumishi waambie hao wabishi km Farao
🏃🏃🏃🏃🏃Shikaa rabaaaa, acha dhambi kijana
Kama ikukushinda oa/ olewaNdio nlikuuliza mtumishi nikiwa na upwiru nizidishe tu maombi?
Selfie 🤳 unamaanisha nyeto?Selfie tam
NAKAZIAWasanii wanalala na wanawake kwa kutazama nyota zao wao wakizidi kufanikkwa na kuwa maarufu wanawake waliolala nao wakibakia palepale Pana Siri kubwa sana kwenye uzinzi.