Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Safi, huyu JIWE ni mpuuzi sana. Tamaa yake ya madaraka isituingize kwenye machafuko, amelazimisha tuingie kwenye uchaguzi mkuu tukiwa na TUME YAKE YA UCHAGUZI ALIYOIWEKA MFUKONI bado hajatosheka tu? Puumbavu sana.
Sidhani kama nisahihi kufanya kampeini mapema kwa style ya lissu. Matusi yakurudie
 
Kuna watu wanadharau Sana Eti law firm.. Jambo msilolijua ni mataifa makubwa operation zake nyingi they use law firms, institutions mbalimbali, companies etc.. Hao huwa Wanakuwa vivuli ila nyuma yao wapo CIA etc.
 
Tutakutana hapa tarehe 1 November.

Usibadili ID tu... Lissu hawezi kushinda huu uchaguzi hata ukihesabu kura wewe.

Namuona kama kijana anayejifunzia mpira uzeeni. Anaanza kwa speed kujikimbiza uwanjani dakika ya 30 kachoka.
Hifadhi maneno, yeye siyo yule wa namwachia Mungu. Maana mmezoea vya kunyonga.
 
Halafu Kuna VIONGOZi wa Dini wanamtetea jiwe.
Mungu anaona.
 
Mbona mnapenda kupotosha kama vile wewe peke yako ndio unasikia anachokiongea Lissu. Chuki zenu dhidi ya Lissu zisiwafanye mataahira. Lissu alisema akiibiwa kura hatakubali. Atadai haki yake. Moja ya njia ya kudai haki yake ni kuingiza watu barabarani. Sasa wewe kwa maksudi unapotosha eti akishindwa ataingiza watu barabarani, you are pathetic.
 
A
Hivi hao Amsterdam and partners LLP wanaweza kuwa na power kuliko taifa letu WATANZANIA? Mbona tunajihaibisha sana
Acha kuiingiza Tanzania nzima kwenye matatizo ya Mtu binafsi.
Ujue Kuna tofauti Kati ya nchi na serikali.
Serikali ni kikundi Cha watu walioingia madarakani kihalali ama kiharamu.
Nchi Ni sehemu ya ardhi ya dunia na watu wake.
 
Rudia kuisoma hiyo barua kwa makini, utapata majibu ya ulihokiuliza. Mihemko haitawaponya safari hii.
 
Unajua wewe jamaa usinifanye nikazimia kwa furaha,nataka kuona Tanzania mpya.
 
[emoji23] [emoji23] Baada ya oktoba utarudi hapa na kusema tuneibiwa.

Kwa taarifa yako tu Lisu hapati hata 20% ya kura
Kwa matokeo ya kura za NEC, yes. Ila kwa kura za wananchi atapata.
 
Jamani kama mtu una akili utajua kwamba hizi barua za kutoka kwa Robert anaandika Lisu alafu anawapelekea ku edit na kuzituma hapa au vipi
 
Hii nchi huru kama we unajiona upo utumwani unawezq kuhami nchi jirani. Na hao wanaotutafuta wapo siku zote tokea enzo za mwalimu kasome historia tuliwashughulikia nao na tutaendelea kushughulika nao siku zote.
 
Rudia kuisoma hiyo barua kwa makini, utapata majibu ya ulihokiuliza. Mihemko haitawaponya safari hii.
Hizi ndio sababu Lissu anajiaminisha watanzania wote hamnazo kama ilivyo kwa wafuasi CDM na kuja na mambo ya kitoto kama haya.

Kama aliweza kuwaaminisha kuna mahakama ya MIGA basi rahisi kuwaaminisha chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…