Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Ungewashauri wale waliompiga risasi hivi ...

Kwamba kwanini walifanya?

Ungukuwa na maana Sana kuliko upumbavu ulioandika.

Rais wako ni Lissu utake usitake October.

Nakuona mtekaji na muuaji ktk ubora wako nakupa tu taarifa kwamba baada ya uchaguzi utarudi kwenu gambosi kuchunga ng'ombe maana ulihisi unaongoza ng'ombe sasa kipindi hiki utakumbushwa kwamba ulikuwa unaongoza binadamu wenye akili timamu tena wengine wamekuzidi mbaali
 
Lisu hamna kitu so hawa ndio wata mlinda na nini, Tanzania ni nchi huru kama kuna njama waende mahakamani wakaishitaki serikali, haya matamko haya impact yoyote hile na yanawafanya chadema na lisu wote wazidi kuonekana wehu.
nchi huru ok siku nyingine mkuu sema wewe na famili yako mko huru alau yakoroge tuone , hizi choko choko sio za kubeza kama mtu waangalia mbali , anatafutwa mtu hapa taratibu na why tufike huko , mbona hata sababu sioni at , kama wanaotoa majibu ya watainiwa wa urais ni wananchi why tunapata shida
 
Kisiki gani Sasa
Hyo barua ya kipuuzi
Tz NI nchi huru yenye sheria zake Wala haiwezi kuingiliwa
Endeleeen kujipa moyo magu amewakomesha na miaka mingine mitano yaja
Kwa hiyo mnaua watu na kuwapoteza hadi wengine mmetuhumiwa kujitwalia madaraka ya kupora watu haki za kuishi msiguswe kwa kuwa ninyi ni wachawi na gambosi ni kwa babu zenu siyo? kwamba mnaua mahakama, polisi, tiss wapo kimya ndiyo furaha yenu lakini sasa hivi tuhuma zenu zinawekwa wazi ndo umeanza kugundua kuwa tz ni nchi huru kwa taarifa yako huu mfumo wa shetani ulovamia tz mwisho ni 28/10/2020.
 
ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.

Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.

Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.

Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large group of followers ready to rebel at his whim and that belief is ever growing as days go by yote kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight, but at some point he needs to come down to earth.

Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissu’s mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.
Umeandika upuuzi mreeefu.
Hivi wewe Nani asiyejua kuwa Lissu anaonewa?
Lissu kapigwa risasi,Hakuna aliyekamatwa Wala kesi.
Lisu kanyimwa fedha za matibabu.
Lissu kafukuzwa ubunge akiwa matibabuni.
Lissu anataka kugombea Urais,anawekewa figisu.
Wakitokea watu wa kumtetea hamtaki,ninyi Ni watu wa Aina gani?
 
Na
Watapata... ila sio kama 2015...

Hata Magufuli asipopiga Kampeni hawawezi kufikia kura za Lowassa milioni 6.

Lissu ni size ya Dkt. Slaa tu.
Naona jiji makata unajifukiza udi huku ukinena kwa lugha za kishetani ili cdm washindwe kwa taarifa yako siyo mwaka huu tutapiga mtu kipigo cha mbwa koko hadi wanachi wa burigi mwak huu hawawapigii hata wa gambosi hawatawapa maana siyo kwa aina ya utawala wa kinyama mlouonesha
 
Kwa hiyo mnaua watu na kuwapoteza hadi wengine mmetuhumiwa kujitwalia madaraka ya kupora watu haki za kuishi msiguswe kwa kuwa ninyi ni wachawi na gambosi ni kwa babu zenu siyo? kwamba mnaua mahakama, polisi, tiss wapo kimya ndiyo furaha yenu lakini sasa hivi tuhuma zenu zinawekwa wazi ndo umeanza kugundua kuwa tz ni nchi huru kwa taarifa yako huu mfumo wa shetani ulovamia tz mwisho ni 28/10/2020.
Hahahaaaa sijaona bado was kumshinda magu
Endelea kulalamika kazi zinaendelea
Mlizoea ufisad na rushwa na kuonea wanyong mmebanwa Sasa
Eti lisu Sasa lisu ndio mdudu gani?
 
ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.

Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.

Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.

Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large group of followers ready to rebel at his whim and that belief is ever growing as days go by yote kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight, but at some point he needs to come down to earth.

Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissu’s mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.
Yaani wewe ulishapiga kura na matokeo yametangazwa ee au ndo kuamini kuwa mtasaidiwa kwa mtutu? Umepanic na kingereza chako cha mwanafunzi wa certificate in law
 
Na

Naona jiji makata unajifukiza udi huku ukinena kwa lugha za kishetani ili cdm washindwe kwa taarifa yako siyo mwaka huu tutapiga mtu kipigo cha mbwa koko hadi wanachi wa burigi mwak huu hawawapigii hata wa gambosi hawatawapa maana siyo kwa aina ya utawala wa kinyama mlouonesha
Tutakutana hapa tarehe 1 November.

Usibadili ID tu... Lissu hawezi kushinda huu uchaguzi hata ukihesabu kura wewe.

Namuona kama kijana anayejifunzia mpira uzeeni. Anaanza kwa speed kujikimbiza uwanjani dakika ya 30 kachoka.
 
Hivi hao Amsterdam and partners LLP wanaweza kuwa na power kuliko taifa letu WATANZANIA? Mbona tunajihaibisha sana
Dah imebidi nicheke tu nyie watu wa lumumba sijui mnapewa nini

Mkulima tu aliwahenyesha na Airbus zenu kupigwa kitanzi mkamlipa kimya kimya
 
Wanachemka sasa..wameanza hadi kuingilia mhimili wa mahakama wakati wao wanajiita law firm..kweli hivi vikampuni vya kwenye mikoba vina shida sana.

Kisha wangejua ndio wanaharibu zaidi na wanamharibia mteja wao kwa kumtaja taja magufuli wangekaa kimya tu.

Maana magufuli huwa hajibizani na takataka. Huyo mteja wao mwenyewe kamtaja wewe Magufuli kwa majina yote na wala hajajibiwa hadi kaamua kujizungumzia yeye tu sasa.
Una muharibia maana humu ndani tu ana maadui wa kufa mtu. Kwahiyo kabla hao hawajaja au hawajafika basi atakuwa ameanza kuumizwa na wandani humuhumu. Uwe mpole wewe nanga.
 
ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.

Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.

Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.

Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large group of followers ready to rebel at his whim and that belief is ever growing as days go by yote kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight, but at some point he needs to come down to earth.

Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissu’s mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.
Kipi kinashindikana hapo, kwani ICC haiwezikutumia facts na ushahidi huo huo na kesi ikafunguliwa? Hiyo certificate ya sheria nadhani haijakusaidia kufanya reasoning eti ee. Lakini umepunyanga tu kwa hearsay bila kutaja kifungu cha sheria kinachoibana ICC au organisation nyingine kutumia hoja na ushahidi toka wanasheria wa kujitegemea kuendesha kesi.
 
Alafu kuna Kamati ya Mambo ya nje ya Bunge la Marekani, nao wanafuatilia kwa karibu sana matukio ya Tanzania mwaka huu. Lazima watu wakae mwaka huu
Mkuu ndoto zetu wanaenda kuzizima akina jiwe & company maana sio njia ya kukwepa vikwazo vya hawa mabeberu🙆
 
Kwenu Wana Lumumba,

Hakuna kitu kama hicho cha kuenguliwa, Tundu Lissu lazima agombee.

Mlisema hatakuja, kaja toka Belgium.

Mlisema msaliti hana mvuto wa kisiasa, imebainika siyo kweli.

Mlisema siku ya Sikukuu ya Nane Nane Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Dodoma itakuwa imefungwa, Tundu Lissu alikuta ipo wazi.

Mlisema hati yake ya Kiapo haitasainiwa na Jaji wa Mahakama Kuu Dar es Salaam , jana fomu zake za kiapo zimesainiwa.

Mmepanga kumuita Kisutu tarehe 26 August 2020, Tundu Lissu hawezi kutokea kwa udhuru wa jambo muhimu ktk mchakato wa kuelekea uchaguzi 2020.

Mnasema tarehe 26 August 2020 hatatambuliwa kama mgombea rasmi wa Urais kupitia CHADEMA 2020, Tundu Lissu atatambuliwa na Tume ya Uchaguzi ya Taifa na ndiyo itakuwa siku ya kusitisha tuhuma zote za mahakamani mpaka baada ya uchaguzi tarehe 28 Oktoba kumalizika.

Wagombea wanaotambuliwa na Tume ya Uchaguzi 26 Agosti tuhuma za mashtaka yao yatasitishwa kwa kinga maalum ili sisi waTanzania tuweze kushiriki kumpigia kura maana tuhuma ya kesi siyo kigezo cha kumuondolea haki yake kuchaguliwa kwani tuhuma siyo ukweli mpaka pale tu atakapo hukumiwa ndiyo sifa inakosekana.
Umeongea kisomi kabisa.
 
Sijui kama watu wanaelewa.

Nilisema mwaka mmoja uliopita kuwa maamuzi juu ya utawala wa awamu ya 5 yalikwishafanyika tangu mwakajana. Wanasubiriwa kwenye ncha 4, na moja tu itatosha implementation ya maamuzi.

Kama wanaotegemewa ni hawa wapiga majungu na mabingwa wa kuteka, hawataisaidia serikali, badala yake watu wataingia wazima wazima, kisha kuduwaa na kishangaa imewezekana vipi utekelezaji ukawa haraka namna hii.

Ukiwa na mshindani anayejua na anayetegemea namna utakavyofanya, halafu ukafanya vile vile kama alivyokuwa anategemea, ujue umeisha na umefeli kikamilifu. Ndiko watu wanakoelekea.

Amsterdam siyo wao bali ni jamii ya kimataifa. Barua hizi hazina lengo la kuonya wala kutisha bali kukamilisha hatua zote kama ilivyoamliwa namna ya kutekeleza.

Watakaoshindwa kuelewa, wasubirie. Kenge huwa hasikii mpaka atoke damu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachemka sasa..wameanza hadi kuingilia mhimili wa mahakama wakati wao wanajiita law firm..kweli hivi vikampuni vya kwenye mikoba vina shida sana.

Kisha wangejua ndio wanaharibu zaidi na wanamharibia mteja wao kwa kumtaja taja magufuli wangekaa kimya tu.

Maana magufuli huwa hajibizani na takataka. Huyo mteja wao mwenyewe kamtaja wewe Magufuli kwa majina yote na wala hajajibiwa hadi kaamua kujizungumzia yeye tu sasa.
Endelea kuota. Wanajua wanachokifanya. Na kuna siku utakuja kujilaumu kwa nini ulikuwa mjinga wa kuamini unachoamini.

Siyo suala la Lisu bali suala la kuipeleka Dunia kwenye primitivity.

Kuna mambo ambayo Dunia inajutia kwa kutochukua hatua mapema, hasa dhidi ya viongozi wa muelekeo fulani. Waliachwa halafu baadaye walikuja kuisumbua Dunia na kuleta maafa makubwa.

Dunia haitaki watawala wenye mwelekeo huo kwa Dunia ya sasa. Wanataka kuwadhibiti watawala wa namna hiyo kabla hawajafika mbali maana ni maadui wa Dunia.

Wangeanza na marekani, waje korea kaskazini, kisha wamalizie urusi hao unaowaita dunia.
 
Back
Top Bottom