Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Hii ndio shida ya Africa, matatizo yetu tujitahidi kupambana na kumalizana wenyewe...Akili hizi za kutegemea weupe ndio yale yale ya Trump anayesema waAfrica hawawezi hata kuchukua maamuzi dhidi ya matatizo yanayowakabili..

Wazungu nani aliwasaidia kutatua matatizo yao? kama sio wao kwa wao walimalizana mpaka utaratibu na mambo yakakaa sawa na kuanza kuheshimiana..

Tupambane wenyewe kama kuumizana tuumizane na kama kuuana tuuane wenyewe mpaka tutakapoheshimiana lakini tumemalizana wenyewe na sio Wazungu waje eti kutusaidia pumbavu kabisa pambaneni wenyewe humu humu..
 
Mnachekelea wakati mgombea wenu ndio anazidi kuharibikiwa
Kama anaharibika huko Lumumba hakuna shida, Jiwe na TUME YAKE YA MFUKONI wasituvuruge. Watuache tumchague Mgombea tumtakye, yeye si amejenga madaraja,kununua ndege wasiwasi wa nini tena?
 
Lissu ananyoosha watu na hakika watasghulikiwa kimataifa.

Lissu anaweza kupata support ya kimataifa kama ilivyokuwa kwa Mandela wakati yuko gerezani.
Mungu azidi kuwabariki mabeberu bila wao hawa wakoloni weusi africa mbona wangetugeuza bucha usiku na mchana sema tu wakifikiria ze hague na hofu ya kunyimwa misaada plus kunyimwa ruhusa ya kuingia ubeberuni angalu wanakuwa watu kidogo kwa kupunguza speed
 
Hivi hao Amsterdam and partners LLP wanaweza kuwa na power kuliko taifa letu WATANZANIA? Mbona tunajihaibisha sana
Kuna tofauti ya taifa na utopolo unaofanywa na CCM na Magufuli,ikitokea la kutokea sisi wengine tutakuwa upande wa beberu maana magu na CCM wameshatuchosha kujifanya wao ndo wamiliki wa nchi hii na sisi wengine tunawasindikiza tu
 
Lisu hamna kitu so hawa ndio wata mlinda na nini, Tanzania ni nchi huru kama kuna njama waende mahakamani wakaishitaki serikali, haya matamko haya impact yoyote hile na yanawafanya chadema na lisu wote wazidi kuonekana wehu.
tza sio kisiwa ni global village ni haki yao kuingilia kati ili kuepusha gharama za kuhudumia wakimbizi.Kumbuka watawala wa kiafrica wanachoweza kwa ufasaha kabisa ni kuzalisha wakimbizi dunianisababu ya tumbo lao na sio kuhudumia wakimbizi wanaachiwa jumuia za kimataifa
 
Wanachemka sasa..wameanza hadi kuingilia mhimili wa mahakama wakati wao wanajiita law firm..kweli hivi vikampuni vya kwenye mikoba vina shida sana.

Kisha wangejua ndio wanaharibu zaidi na wanamharibia mteja wao kwa kumtaja taja magufuli wangekaa kimya tu.

Maana magufuli huwa hajibizani na takataka. Huyo mteja wao mwenyewe kamtaja wewe Magufuli kwa majina yote na wala hajajibiwa hadi kaamua kujizungumzia yeye tu sasa.
Kuna watu mnahitai kuhurumiwa tu! Kama mambo huyaui ni bora kutulia tu wenzako wanaoelewa kama akina IGP wameihaona upepo umekaa vibaya!
 
Tar 30/7 kesi ilihairishwa mpaka 26/8 inamaana wakili wa lisu hakumpa taarifa mteja wake au hakufanya jambo kesi ihairishwe maana ratiba ya tume inaeleweka......
Nawasiwasi sana na hizo mabarua za kijinga, tuwe wa kweli ni lini tume imesema itamuengua lisu au huwa ni speculation za mitandaoni tuu..
yanayoendelea uyaoni dalili za mvua
 
Kwenu Wana Lumumba,

Hakuna kitu kama hicho cha kuenguliwa, Tundu Lissu lazima agombee.

Mlisema hatakuja, kaja toka Belgium.

Mlisema msaliti hana mvuto wa kisiasa, imebainika siyo kweli.

Mlisema siku ya Sikukuu ya Nane Nane Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Dodoma itakuwa imefungwa, Tundu Lissu alikuta ipo wazi.

Mlisema hati yake ya Kiapo haitasainiwa na Jaji wa Mahakama Kuu Dar es Salaam , jana fomu zake za kiapo zimesainiwa.

Mmepanga kumuita Kisutu tarehe 26 August 2020, Tundu Lissu hawezi kutokea kwa udhuru wa jambo muhimu ktk mchakato wa kuelekea uchaguzi 2020.

Mnasema tarehe 26 August 2020 hatatambuliwa kama mgombea rasmi wa Urais kupitia CHADEMA 2020, Tundu Lissu atatambuliwa na Tume ya Uchaguzi ya Taifa na ndiyo itakuwa siku ya kusitisha tuhuma zote za mahakamani mpaka baada ya uchaguzi tarehe 28 Oktoba kumalizika.

Wagombea wanaotambuliwa na Tume ya Uchaguzi 26 Agosti tuhuma za mashtaka yao yatasitishwa kwa kinga maalum ili sisi waTanzania tuweze kushiriki kumpigia kura maana tuhuma ya kesi siyo kigezo cha kumuondolea haki yake kuchaguliwa kwani tuhuma siyo ukweli mpaka pale tu atakapo hukumiwa ndiyo sifa inakosekana.
 
Tar 30/7 kesi ilihairishwa mpaka 26/8 inamaana wakili wa lisu hakumpa taarifa mteja wake au hakufanya jambo kesi ihairishwe maana ratiba ya tume inaeleweka......
Nawasiwasi sana na hizo mabarua za kijinga, tuwe wa kweli ni lini tume imesema itamuengua lisu au huwa ni speculation za mitandaoni tuu..
Sasa kama dalili zinaonesha za kukatwa akae kimya?
 
Sasa hii tishia toto yenu, mnadhani inaenda popote. He jiulizeni hiyo law firm ina jurisdiction gani hapa TZ, na hoyo barua yao inamsaidiaje Mgombea wenu kwenye sanduku la kura.
Au bora imeandikwa na mzungu au mtu mweupe na offisi zao hata kama ziko vichochoroni vya london na kaa adress Washington DC, basi kwa mtu mweusi imeandikwa na MABOSI, MABWANA WAKUBWA, WATAWALA WA AKILI ZENU
 
Kwenu Wana Lumumba,

Hakuna kitu kama hicho cha kuenguliwa, Tundu Lissu lazima agombee.

Mlisema hatakuja, kaja toka Belgium.

Mlisema msaliti hana mvuto wa kisiasa, imebainika siyo kweli.

Mlisema siku ya Sikukuu ya Nane Nane Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Dodoma itakuwa imefungwa, Tundu Lissu alikuta ipo wazi.

Mlisema hati yake ya Kiapo haitasainiwa na Jaji wa Mahakama Kuu Dar es Salaam , jana fomu zake za kiapo zimesainiwa.

Mmepanga kumuita Kisutu tarehe 26 August 2020, Tundu Lissu hawezi kutokea kwa udhuru wa jambo muhimu ktk mchakato wa kuelekea uchaguzi 2020.

Mnasema tarehe 26 August 2020 hatatambuliwa kama mgombea rasmi wa Urais kupitia CHADEMA 2020, Tundu Lissu atatambuliwa na Tume ya Uchaguzi ya Taifa na ndiyo itakuwa siku ya kusitisha tuhuma zote za mahakamani mpaka baada ya uchaguzi tarehe 28 Oktoba kumalizika.

Wagombea wanaotambuliwa na Tume ya Uchaguzi 26 Agosti tuhuma za mashtaka yao yatasitishwa kwa kinga maalum ili sisi waTanzania tuweze kushiriki kumpigia kura maana tuhuma ya kesi siyo kigezo cha kumuondolea haki yake kuchaguliwa kwani tuhuma siyo ukweli mpaka pale tu atakapo hukumiwa ndiyo sifa inakosekana.
Wanasaccos na mabeberu ndiyo wanahangaika sana mara mabeberu wameandika barua JF sijui kwa rais. Sisi tunataka angombee ili 28/10/2020 akiona matokeo afe kihoro kabisa arudi kwao Ubelgiji akawaone familia yake akiwa na maumivu ya kutosha!!
 
Yani Jiwe ana matatizo jamani! Hivi huwa anawazawazaje? Inasikitisha sana.
 
Tulia mama usipate taabu ,kila wanachopanga kinajulikana soma hapa , Jiwe mwaka huu atawajua wenye dunia.View attachment 1545046
Umbumbu huu yaani kikundi cha watu kiendeshe serikali ya magufuli..waambieni ngoma mbichi sana..wasubirie mziki..watajuta kuwa mawakili wa huyo bwana..kawaingiza chaka.
 
ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.

Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.

Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.

Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large group of followers ready to rebel at his whim and that belief is ever growing as days go by yote kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight, but at some point he needs to come down to earth.

Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissu’s mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.

Perfect!

“He needs to come down to Earth!”
 
Back
Top Bottom