Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran kakaDada nakutumia voice note ya barua
There are international treaties as a nation we abide to those we have subscribed too.I can assure you those are not empty threats; with time you will know that Tanzania is not an island but part of a larger international community!! Hamuwezu kuachwa mnawadhurumu watu haki yao ya msingi ya kumchagua wantakae kwa kutumia dola halafu mkabaki salama!!
Huyo anayepita huko anaongea na kutukana kashikwa na nani we jimbi?Hakuna uhuru wa kuongea, unataka mnichape mvua za risasi au kunipoteza kama akina Ben Saanane mumbwa wewe?
Hyo tarehe ya kesi mbona ilisasemwa tangia 30/7 kesi ilipohairishwa inamaana lisu na mwanasheria wake hawakujua hiloView attachment 1545054
kama kweli magufuli na ccm yako mnapanga kufanya hiki kitu.... Mungu atawashughulikia ktk namna inayowafaa na mimi naomba mlaaniwe.
Jiwe na TUME YAKE YA MFUKONI wasijaribu kuvuruga uchaguzi. Watuache tuchague Mgombea tumtakaye. Yeye si amefanya mengi kwa miaka mitano tu, wasiwasi wa nini sasa?Hapo ndipo chadema wanapokosea!time will tell .nchi haigawi kama maharagwe
Pompeo na BORIS JONSONHuyu Amsterdam alisikilizwa alipisema Tl asikamatwe akitua si ndio? Akisikilizwa tena ntaamini anayezungumza ni mtu tofauti kabisa na anavyojipambanua.
Wakimgusa tu Lissu wamekwisha wale mboga mbogaHuyu Amsterdam alisikilizwa alipisema Tl asikamatwe akitua si ndio? Akisikilizwa tena ntaamini anayezungumza ni mtu tofauti kabisa na anavyojipambanua.
Aibu kwelikweli.View attachment 1545054
kama kweli magufuli na ccm yako mnapanga kufanya hiki kitu.... Mungu atawashughulikia ktk namna inayowafaa na mimi naomba mlaaniwe.
Kwa iyo Kama sheria zenu za ndani zinaruhusu watu wauawe kwa ukilaza wako unadhani hawawezi kuingilia???There are international treaties as a nation we abide to those we have subscribed too.
Lakini ata wao wanajua kila nchi inasheria zake ambazo hawana mipaka nazo sio kwamba awaoni Lissu anavunja halali za nchi.
😂😂😂😂 mnalo mwaka huu!! Si mlipanda udhalimu sasa ndo muda wa kuvuna mataga nyieLissu anatumiwa na wazungu kwa maslahi ya wazungu. Nitamshangaa mtanzania atakaye mchagua lissu.
There are international treaties as a nation we abide to those we have subscribed too.
Lakini ata wao wanajua kila nchi inasheria zake ambazo hawana mipaka nazo sio kwamba awaoni Lissu anavunja taratibu halali za nchi.
Ata ingekuwa kweli usemacho huyo Amsterdam hana mamlaka hayo.Kwa iyo Kama sheria zenu za ndani zinaruhusu watu wauawe kwa ukilaza wako unadhani hawawezi kuingilia???
Wametaitishwa mwaka huu. Kama hawajaweka mpira kwapani sijuiiiCCM wanataka kuleta mbinu zao za zama za kale za mawe
Hatukani, anatuelezea namna mlivyo amuru achapwe zile mvua za risasi mchana kweupe. Huo ndio utawala bora? nchi hii sio mali ya CCM pekee sheiza.Huyo anayepita huko anaongea na kutukana kashikwa na nani we jimbi?