ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.
Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.
Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.
Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.
Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large group of followers ready to rebel and that belief is growing as days go kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight but at some point he needs to come down to earth.
Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissu’s mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.