Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo barua ni kwa ajili ya mtu kama wewe usioweza kufikiri.Ungewashauri wale waliompiga risasi hivi kwamba kwanini walifanya ungukuwa na maana Sana kuliko upumbavu ulioandika.
Barua yenyewe ndio hiyo, jisomee mwenyewe.
Unaujua mradi wa gas lindi hadi ulipofanyiwa tathmini upya na watu kuliowa kulingana na thamani halisi?Amezuia mradi upi? Makinikia au? Au amelipwa zile trions?
Vipi Magu ,yupo juu ya sheria zetu?ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.
Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC.
Mambo mengine ni kufurahishana tu, kati ya Lissu na wafuasi wake lakini Amsterdam hana jurisdiction kwenye mambo ya ndani ya Tanzania.
Binafsi naomba Lissu asikatwe pamoja na kuvunja kanuni aachwe agombee baada ya kushindwa ndio watu wataelewa huyu mtu anahitaji psychological help.
Lissu kwa sasa anaamini yeye ni mtu untouchable, above the Tanzania laws, he has large support ready to rebel and that belief is growing as days go kwa sababu vyombo vya ulinzi wameamua ku entertain his thoughts tangia amerudi out of pity considering his plight but at some point he needs to come down to earth.
Baada ya kushindwa uchaguzi the extent of Lissu’s mental health problem will become obvious, to many people; time will tell.
Barua yenyewe ndio hiyo, jisomee mwenyewe.
Kwenye makinikia nani alipigwa faini?mwanaume au?Unaujua mradi wa gas lindi hadi ulipofanyiwa tathmini upya na watu kuliowa kulingana na thamani halisi?
Mradi wa madini ya uranium huko ruangwa pia aliusimamisha na tathmini bado inaendelea.
Pia alizuia usafirishaji wa madini kwa jina la makinikia na jamaa kupigwa faini. Kwa sasa hata kama wanasafirisha inajulikana madini ni yapi na makinikia ni yapi..umesahau mvutano kati ya serikali na maafisa waandamizi wa acacia na nyie ndio mlikuwa mkishangilia wale maofisa wa acacia kabla hawajapigwa na kurudi kwao.
Magufuli huwa hasomi barua za mabeberu.Barua yenyewe ndio hiyo, jisomee mwenyewe.
We umeona kuna mtu ameanza campaign mapema? Soma hiyo barua kama Lissu alikuwa anaona anachofanya sio kosa kwa kanuni za uchaguzi mbona anajihami leo kutokana na mambo aliyokuwa akifanya.Vipi Magu ,yupo juu ya sheria zetu?
Dah..haufatilii nini ndugu yangu hizi ishuz?Kwenye makinikia nani alipigwa faini?mwanaume au?
Jitekenye halafu cheka mwenyewe.Wanachemka sasa..wameanza hadi kuingilia mhimili wa mahakama wakati wao wanajiita law firm..kweli hivi vikampuni vya kwenye mikoba vina shida sana.
Kisha wangejua ndio wanaharibu zaidi na wanamharibia mteja wao kwa kumtaja taja magufuli wangekaa kimya tu.
Maana magufuli huwa hajibizani na takataka. Huyo mteja wao mwenyewe kamtaja wee magufuli kwa majina yote na wala hajajibiwa hadi kaamua kujizungumzia yeye tu sasa.
Ulivyomkabidhi hiyo barua magufuli alikujibu nini??Jitekenye halafu cheka mwenyewe.
Sheria inasemaje? Iweke hapa tuone inavyosema Kisha utuambie siku Magu anachukua form pale Dodoma alifanya nini na tbc walimuonesha live akiwa anafanya nini?We umeona kuna mtu ameanza campaign mapema? Soma hiyo barua kama Lissu alikuwa anachofanya sio kosa kwa kanuni mbona anajihami leo.
Ndio hiyo watu walikuwa wanawambia katika vyama 16 vilivyochukua form ni CDM peke yake ndio waliobaini loopholes za kanuni. Wengine wote mazoba.
Sifatilii mkuu,nani kapigwa faini na kapigwa bei gani?Dah..haufatilii nini ndugu yangu hizi ishuz?
Kila mtu alichukua fomu akaonekana hata lipumba na membe tuliwaona.Sheria inasemaje? Iweke hapa tuone inavyosema Kisha utuambie siku Magu anachukua form pale Dodoma alifanya nini na tbc walimuonesha live akiwa anafanya nini?
Hiyo barua ni kwa ajili ya mtu kama wewe usioweza kufikiri.
Tatizo lenu serikali ikisema itumie busara na kuachia tu watu wafanye mambo ata kama kinyume na sheria mnaanza kudai mnaogopwa sijui Amsterdam kasaidia etc with nonsense.
Wakichukua hatua mnaonewa ni shida tupu; ni mahakama gani kwa mfano huyo Amsterdam anaweza fungua kesi unadhani?
Alitoa ahadi ya kugeuza Tanzania kama ulaya kama ataongezewa mitano tumeona sio siriSheria inasemaje? Iweke hapa tuone inavyosema Kisha utuambie siku Magu anachukua form pale Dodoma alifanya nini na tbc walimuonesha live akiwa anafanya nini?