Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Dunia kwa sasa macho yao yapo Tanzania kwa kila kinachoendelea kuhusu free and fair election ni wajibu wetu kuionesha dunia kila aliyeshinda ameshinda kwa haki ila kinachoendelea majimboni baada ya vyama vya upinzani wabunge na madiwani wake kuambiwa wanaandamana na kukamatwa kisa kwenda kuchukuwa fomu ila kwa upande wa ccm wao hakuna wa kuwakamata hapo ndo penye shaka kubwa vipi matokeo yatakuweje siku ya kura.
 
Tulia Akson kaenda kuchukua form na umati mkubwa akiwa analindwa na Yule yule polisi aliyemkamata Sugu ni uonevu ulioje
 
Wewe ni mweupe tu upstair, nani amekwambia uichukue au usiichukue? PR za Ikulu tunazoziona mtandaoni nani huwa anakuambia uichukue au usiichukue? What an argument you are making here you bwege? Nini maana ya "realiabe source" in this context? Unataka hii barua ya Amsterdam iletwe hapa na nani ili tuiamini?
Yaani sikujua kama we ni pimbi kiasi hiki.
 
Wao waseme wanachotaka ni kuendelea kutubia na hilo halitakuwepo tu. wao waendelee kumfadhiri ila mwisho wa siku kurudia tena enzi zile za Mangungo wa Msovero hatuko tayari na hawatapata wanchotaka kutubia
Ubabe wenu huwa wa kijinga sana lakini Safari hii mtajua mungu amechoka na ujinga wenu
 
CCM walizoea vya kunyongwa, lkn kwa sasa inawapasa kujifunza jinsi ya kuchinja. Kwa sasa vibudu ni BASI,
 
Hivi hao Amsterdam and partners LLP wanaweza kuwa na power kuliko taifa letu WATANZANIA? Mbona tunajihaibisha sana
Inachekesha sana kwa kweli. Barua inaonyesha huyo Amsterdam ni wakili tu mwanzilishi wa kampuni ya uwakili ya Amsterdam & Partners LLP amesaini Kama Robert R. Amsterdam, ambaye anamuwakilisha LISSU.
Sioni tofauti na barua ambayo ingeandikwa na kampuni ya mawakili ya Fatma Karume.
AJABU eti anamtishia JPM na mwanasheria mkuu wasimkate LISSU, maana yake ni kwamba LISSU ameshaona violations alizofanya ndio maana anaanza kutishiatishia..
LISSU ni wa AJABU sana anapenda malumbano ya kisheria wakati amekuwa akipoteza Mara kadhaa..
Mfano nzuri ni kupoteza Ubunge..
Aliambiwa arasimishe taarifa ya ugonjwa wake oficini kwake, akagoma, akadai hawezi kufukuzwa, Baadae akafukuzwa,
Akaenda mahakamani kwa mbwembwe na kuaminisha watu eti angeshinda akatupwa nje kwa technical knock out...
Leo hii kwa kiburi kabisa amefanya kampeni karibu nchi mzima kwa kisingizio Cha kutafuta wazamini kinyume na Sheria.. sasa amegundua amechemka amejiri kampuni ya mawakili kuitisha tume, mahakama na serikali(JPM na Mwanasheria Mkuu)
Wakili tu huyo mwenye ofc London na New York
 
Attachments

  • Screenshot_2020-08-24-04-56-45-83_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    Screenshot_2020-08-24-04-56-45-83_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    146.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_2020-08-24-04-57-13-65_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    Screenshot_2020-08-24-04-57-13-65_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    35.8 KB · Views: 1
Mnaamini hiyo barua ni tishio kwa JPM [emoji38][emoji38] .... Waafrika hamjifunzi tu, Besigye wa Uganda alifanywa nini na Museven tena ule unyanyasaji wa kiroho mbaya dunia ikishuhudia! Hawakuwepo hawa? Rwanda yule mpinzani wa kike? The list goes on .....Chadema hawana chama kwasasa cha kiushindani labda wangeungana na ACT ili walau wajenge chama na baadae wajipange upya kuunda misingi itayowasaidia baadae kutwaa dola. Kwasasa wakienda na ule upofu wa kishabiki, watashangazwa October ...
 
Hii ndio shida ya Africa, matatizo yetu tujitahidi kupambana na kumalizana wenyewe...Akili hizi za kutegemea weupe ndio yale yale ya Trump anayesema waAfrica hawawezi hata kuchukua maamuzi dhidi ya matatizo yanayowakabili..

Wazungu nani aliwasaidia kutatua matatizo yao? kama sio wao kwa wao walimalizana mpaka utaratibu na mambo yakakaa sawa na kuanza kuheshimiana..

Tupambane wenyewe kama kuumizana tuumizane na kama kuuana tuuane wenyewe mpaka tutakapoheshimiana lakini tumemalizana wenyewe na sio Wazungu waje eti kutusaidia pumbavu kabisa pambaneni wenyewe humu humu..
Kwa mahakama zip? Kwa vyombo vya habari VP? Kwa taasisi zp za kidini, we jamaa embu iangalie Tz kwa sasa ilipo inavyotia huruma ndio uje na hoja yako

Nchi inapitia kwenye bonde la uvuli wa mauti.
 
Lisu anafanya preemptive attack ,muwahi adui kabla hajakuwahi.

Nzi wa kijani kazi wanayo safari. Kwenye matundu ya choo hapakaliki wamepuliziwa spray, wanatoka mbio na kuleta harufu
 
Kwa mahakama zip? Kwa vyombo vya habari VP? Kwa taasisi zp za kidini, we jamaa embu iangalie Tz kwa sasa ilipo inavyotia huruma ndio uje na hoja yako

Nchi inapitia kwenye bonde la uvuli wa mauti.

Kwani kupambana lazima upambane na hizo mbinu tu, pambaneni kama mnahitaji haki. Hakuna haki inakuja duniani ukiwa umekaa kwenye keyboard cheif, Ilitumika nguvu kumtoa hata mkoloni ili Watanzania wapate haki... Soma historia ya hao wazungu tunawaomba watusaidie uone kama walidai haki kimama..
 
Wacha watusaidie tu, hatuna kifaru, hatuna risasi, hatuna jeshi kivipi unapambana na mwenye vyote hivyo,

Wacha wawalainishe then wananchi watamaliza
 
Mnaamini hiyo barua ni tishio kwa JPM [emoji38][emoji38] .... Waafrika hamjifunzi tu, Besigye wa Uganda alifanywa nini na Museven tena ule unyanyasaji wa kiroho mbaya dunia ikishuhudia! Hawakuwepo hawa? Rwanda yule mpinzani wa kike? The list goes on .....Chadema hawana chama kwasasa cha kiushindani labda wangeungana na ACT ili walau wajenge chama na baadae wajipange upya kuunda misingi itayowasaidia baadae kutwaa dola. Kwasasa wakienda na ule upofu wa kishabiki, watashangazwa October ...
Kwahiyo mnajivunia unyanyasaji dhidi ya wapinzani? Nyie ndio ugoro kweli
 
Sasa hii tishia toto yenu, mnadhani inaenda popote. He jiulizeni hiyo law firm ina jurisdiction gani hapa TZ, na hoyo barua yao inamsaidiaje Mgombea wenu kwenye sanduku la kura.
Au bora imeandikwa na mzungu au mtu mweupe na offisi zao hata kama ziko vichochoroni vya london na kaa adress Washington DC, basi kwa mtu mweusi imeandikwa na MABOSI, MABWANA WAKUBWA, WATAWALA WA AKILI ZENU
Unajua mtu akiwa mgonjwa hata mtoto mdogo akimuambia kula mzizi huu utakusaidia ye atakubali tu.. hawa jamaa kwa sasa wanatapatapa..neno lolote litalowapa faraja wao wanalipokea kwa mikono miwili.

Wao hawataki kujua imeandikwa na nani, ofisi ipo au haipo, uhalali wa barua au chochote..ili mradi kuna address ulizotaja hapo basi wao wanaenda nayo hivyo hivyo.
 
Mnaamini hiyo barua ni tishio kwa JPM [emoji38][emoji38] .... Waafrika hamjifunzi tu, Besigye wa Uganda alifanywa nini na Museven tena ule unyanyasaji wa kiroho mbaya dunia ikishuhudia! Hawakuwepo hawa? Rwanda yule mpinzani wa kike? The list goes on .....Chadema hawana chama kwasasa cha kiushindani labda wangeungana na ACT ili walau wajenge chama na baadae wajipange upya kuunda misingi itayowasaidia baadae kutwaa dola. Kwasasa wakienda na ule upofu wa kishabiki, watashangazwa October ...
Nakubali
 
Inachekesha sana kwa kweli. Barua inaonyesha huyo Amsterdam ni wakili tu mwanzilishi wa kampuni ya uwakili ya Amsterdam & Partners LLP amesaini Kama Robert R. Amsterdam, ambaye anamuwakilisha LISSU.
Sioni tofauti na barua ambayo ingeandikwa na kampuni ya mawakili ya Fatma Karume.
AJABU eti anamtishia JPM na mwanasheria mkuu wasimkate LISSU, maana yake ni kwamba LISSU ameshaona violations alizofanya ndio maana anaanza kutishiatishia..
LISSU ni wa AJABU sana anapenda malumbano ya kisheria wakati amekuwa akipoteza Mara kadhaa..
Mfano nzuri ni kupoteza Ubunge..
Aliambiwa arasimishe taarifa ya ugonjwa wake oficini kwake, akagoma, akadai hawezi kufukuzwa, Baadae akafukuzwa,
Akaenda mahakamani kwa mbwembwe na kuaminisha watu eti angeshinda akatupwa nje kwa technical knock out...
Leo hii kwa kiburi kabisa amefanya kampeni karibu nchi mzima kwa kisingizio Cha kutafuta wazamini kinyume na Sheria.. sasa amegundua amechemka amejiri kampuni ya mawakili kuitisha tume, mahakama na serikali(JPM na Mwanasheria Mkuu)
Kuna wakati inatubidi ushabiki mandazi tuuweke pembeni naukweli usemwe......Lissu anazingua nawanaosema hana uwezo wakuiongoza hii nchi naona wapo sawa haiwezekani nchi huru kama hii uiringanishe nakampuni yauwakili...
 
Back
Top Bottom