Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

ICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.

Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC...
Rais mstaafu ana watoto wa 5 wote wanagombea nyazifa mbalimbali mwaka huu kama wewe ni mmoja wao unadhani wewe na ukoo wenu wote mnaweza kumpenda Lisu au upinzani wowote
 
Rais mstaafu ana watoto wa 5 wote wanagombea nyazifa mbalimbali mwaka huu kama wewe ni mmoja wao unadhani wewe na ukoo wenu wote mnaweza kumpenda Lisu au upinzani wowote
Kinachoendelea huku Zanzibar,ni umwinyi. Pia huko Tanzania bara Nako nawaona watoto wa kawawa,mhagama,mnauye,makamba,kikwete,lusinde,Pinda,lowasa, mke wa kikwete umwinyi unaanza pole pole .
 
Ukisubiri uone utasubiri sana tu mzee..bora uendelee na shughuli zako za kutafuta ugali..mambo ya ngosha dunia yenyewe imenyoosha mikono..muulize balozi wa marekani aliyeondoka na yule balozi wa umoja wa ulaya aliyefungashwa.
Kama unaweza kuongea hivi basi wewe nimejiridhisha bila shaka ni mbumbumbu.
 
Lissu ananyoosha watu na hakika watasghulikiwa kimataifa.

Lissu anaweza kupata support ya kimataifa kama ilivyokuwa kwa Mandela wakati yuko gerezani.
Waanze na kagame kumshugurikia na museveni mabeberu banaaa
 
Wanachemka sasa..wameanza hadi kuingilia mhimili wa mahakama wakati wao wanajiita law firm..kweli hivi vikampuni vya kwenye mikoba vina shida sana.

Kisha wangejua ndio wanaharibu zaidi na wanamharibia mteja wao kwa kumtaja taja magufuli wangekaa kimya tu.

Maana magufuli huwa hajibizani. Huyo mteja wao mwenyewe kamtaja wewe Magufuli kwa majina yote na wala hajajibiwa hadi kaamua kujizungumzia yeye tu sasa.
Kichaa akikwapua nguo zako na kuvaa akatimua mbio kisha wewe mwerevu ukakimbizana nae ukiwa uchi, utaonekana kichaa. Hawa ni wa kupuuzwa kisha vitendo wataviona.
 
Wanachemka sasa..wameanza hadi kuingilia mhimili wa mahakama wakati wao wanajiita law firm..kweli hivi vikampuni vya kwenye mikoba vina shida sana.

Kisha wangejua ndio wanaharibu zaidi na wanamharibia mteja wao kwa kumtaja taja magufuli wangekaa kimya tu.

Maana magufuli huwa hajibizani. Huyo mteja wao mwenyewe kamtaja wewe Magufuli kwa majina yote na wala hajajibiwa hadi kaamua kujizungumzia yeye tu sasa.
Notes ya tatu ilitumwa jana.mchana mwema
 
Huwa hajibizani bali anaropoka tu kulingana na alivyoamka.
 
Mimi nimependa alipo andika "We and the broader international community will be closely Monitoring events in Tanzania over the coming weeks.

Yaani kwa Kizaramo sisi na jumuia ya kimataifa tutakuwa tukifuatilia matutukio ya Tanzania kwa ukaribu mno kuanzia wiki ijayo.

Mungu awabariki sana wazungu.
 
We umeona kuna mtu ameanza campaign mapema? Soma hiyo barua kama Lissu alikuwa anaona anachofanya sio kosa kwa kanuni za uchaguzi mbona anajihami leo kutokana na mambo aliyokuwa akifanya.

Ndio hayo watu walikuwa wanawaambia katika vyama 16 vilivyochukua form ni CDM peke yake ndio waliobaini loopholes za kanuni. Wengine wote mazoba.

NEC awajasema kitu mpaka sasa ni Lissu tu ndio anaeangaika na wasiwasi atakatwa kwa kuanza campaign mapema.
Lisu anajua alichokuwaanakifanya alikuwa anawaonyesha dunia jinsi alivyo tishio katika uchaguzi kwa mtawala na kwa nini alipigwa risasi
Hilo kafaniwa sana na limemwongezea ulinzi,hatua yeyote inayo chukuwa dhidi take itatafsiriwa ni woga mtawala,ni Bora wanaanza kumpigia kelele kuwa sheria ya uchaguzi inavunjwa
 
Hii ni Tanzania, hakuna chochote kitakachokuja kutokea kwa sababu yoyote ile iwe ya Lisu wala wakili.
Kama Tanzania ingekuwa legelege tungekuwa katika mazingira magumu sana katika nyanja zozote zile tangu muda mrefu.
 
Kama siku hizi serikali inashughulika na barua za mitandaoni basi tuna serikali mfu kama mlivyo wafu raia kama wewe.
Wewe ni mjinga tu, kwani press release za Msigwa (Ikulu) zinapoonekana mitandaoni maana yake huwa ni nini we bwege? Wewe unaona barua ziko addressed kwa watu Fulani halafu unaleta utopolo wa Lumumba hapa?
 
I think they may reschedule his case hearing... they are scared shit. Jiwe will use other tactics but leave him free at least in the present tention he faces. Millions are hidden in the banks offshore and could be frozen while sanctions are embedded. Magu would face his own clique's support meltdown and must be worried if not paranoid

Sirro too is a worried body and so is Kaijage who has 2 kids in UKs colleges.

They'll opt to rig from the ballot kiosks transiting to the final counting stations.
 
Back
Top Bottom