sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Rais mstaafu ana watoto wa 5 wote wanagombea nyazifa mbalimbali mwaka huu kama wewe ni mmoja wao unadhani wewe na ukoo wenu wote mnaweza kumpenda Lisu au upinzani wowoteICC inafanya kazi kama ofisi za waendesha mashtaka wa serikali sawa sawa na ofisi ya DPP kwa Tanzania.
Kesi zao wanazitafuta wenyewe na wanakushitaki wenyewe hakuna mwanasheria independent anaweza kwenda kufungulia nchi au mtu kesi ICC...