Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

Anatoroka saa ngapi tena huyu mtoto? ukimwona huku uwe unanipa taarifa........... nitampiga ban kuingia humu

Mungi mguse uone! Hata mende na panya wa nyumbani kwako hawatasalimika I swear!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 upo baba?? nimekumissijeeeeee?? hata pm wangu kunichek na-feel-aje??? nakkuja a town next week, kwa two days, nitakuchek!
Karibu sana mamito cacico
Mi niko full mtu wangu pia nimekumiss sana ila umehama jukwaa hatuonani tena aisee!
 
Last edited by a moderator:
hubby u r my everything, nakupenda kuliko chochote! mi na wewe ni kama prezzo na masalia! mwiko kumwagana! kisses bby wangu! watuwache tupumuwe......!
Nyambafffff Asprin unatia like tu baada ya kukoment......nimekuchungulia uko uchiii sirry cacico hii haikuhusu!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mungi yule kada maarufu wa fisiemu 26 yrs old alifia lash gaden ipi?

Angalia isijekuwa ndo unataka kumpeleka KOKUTONA. BTW malazi yake yananihusu

Viagra 100gm + Malaria .......... halafu ubaki mzima? KOKUTONA atakuwa kwenye usalama wa kutosha................ Atakuwa pale kwa siku atakazofikia.......
 
Last edited by a moderator:
Hii ni ukatili wa kijinsia na ninaona jela inakuita! Copy kwa Mods wote

Hii haihusu jinsia mkuu ni amri.............................. nimempiga marufuku kuzurura
 
Viagra 100gm + Malaria .......... halafu ubaki mzima? KOKUTONA atakuwa kwenye usalama wa kutosha................ Atakuwa pale kwa siku atakazofikia.......

Viagra tena? Nguvu za kawaida zime under do disintegration? Mungi ya kweli hayo, utaacha nije kesho, nina hamu ya kulalia magodoro ya Arusha, yaitwaje vile?
 
Last edited by a moderator:
Viagra tena? Nguvu za kawaida zime under do disintegration? Mungi ya kweli hayo, utaacha nije kesho, nina hamu ya kulalia magodoro ya Arusha, yaitwaje vile?

Hahahaaaaaaaaaa.................... unajua Makada huwa wanaishiwa nguvu zote kuanzia kichwani mpaka kwenye kifanyio. Ukitaka kujua viagra ina soko tembelea viwanja vya bunge dodoma............ zinauzwa kama korosho!

Karibu Arusha kuna Magodoro mengi, kuna Mungifoam, Filipofoam, Erickb52foam, PakaJimmyfoam, na Arushaonefoam.
Ila godoro bora na imara ni Mungifoam, ni nzuri kwa kukalia na kulalia vilevile!
Hapa Majungu pembeni sawabibie
 
Last edited by a moderator:


Nimecheka sana sana sana na brandy za nmagodoro ya ARUSHA. Ila Mungi mengine km exclusive hasa hilo Filipofoam
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…