Hapo sasa. . . Lily Flower kam zis wei.
..hivi bado tu story ya ushungi iko hewani..?mbn mie nilishasahau...hahahahahaHapa naona lile picha linaanza....lile la ushungi!!!
..hivi bado tu story ya ushungi iko hewani..?mbn mie nilishasahau...hahahahaha
Mmmh! habari zenyewe naona zimewekwa nusunusu, wakitoa breakdown yake nadhani nitakuwa na wakti mzuri wa kutoa jibu mujarabu
Na kweli hazijafunnuka kisawa sawa, ngoja tuone.
Mambo mengine niaje?
aisee..njoo jioni nina cha Malawikwa sasa bange kwa kwenda mbele na gongo let me injoi kuwa alone??
..hivi bado tu story ya ushungi iko hewani..?mbn mie nilishasahau...hahahahaha
kweli ilikua habari ya mujini...Si unajua ile ndio ilikuwa habari ya mjini...hahahah
Mambo yanakwenda poa kabisa...msalimu uncle
Mimi siyo mtu wa media hivyo kama tunabwagana kwenye mitandao naona hii yangu haitakuwa story!!....
nije nikupitie 22??
si unajua
mtoto anachezea "bahati". KakaKiizaMimi siyo mtu wa media hivyo kama tunabwagana kwenye mitandao naona hii yangu haitakuwa story!!....
CC, Tulizo, Paloma, Madame B, Asprin, Kipaji Halisi, Arushaone, watu8, Kaizer, gfsonwin.....Nakutakia kila la heri uko uendako ila kiukweli kama ndo tabia hii unayo basi ni hakika safari unayo ndefu kwani wanaume wote tuko hivi!!Ila jua mimi nafasi ya upendo moyoni mwangu umeacha pango kubwa kama siyo pengo!!
Mimi siyo mtu wa media hivyo kama tunabwagana kwenye mitandao naona hii yangu haitakuwa story!!....
CC, Tulizo, Paloma, Madame B, Asprin, Kipaji Halisi, Arushaone, watu8, Kaizer, gfsonwin.....Nakutakia kila la heri uko uendako ila kiukweli kama ndo tabia hii unayo basi ni hakika safari unayo ndefu kwani wanaume wote tuko hivi!!Ila jua mimi nafasi ya upendo moyoni mwangu umeacha pango kubwa kama siyo pengo!!
KakaKiiza ha ha ha
we mwenyewe ulianzisha huku nikakukubali hapa na nakuacha hapa
halafu wanaume wote hawawi hivyo